GE2025 Samia Suluhu Hassan: Kiongozi sahihi kuendeleza safari ya maendeleo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
297
Reaction score
285
π‘΅π’‚π’‚π’π’…π’Šπ’Œπ’‚ 𝑹𝒂𝒔𝒉𝒅𝒂

Kesho, Rais Samia Suluhu Hassan atachukua fomu ya kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu β€” tukio muhimu linaloashiria mwendelezo wa uongozi wenye dira na matokeo.

Kwa kipindi cha uongozi wake, Rais Samia ameonesha uthubutu, uadilifu na ufanisi katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Ameimarisha uchumi, kuboresha huduma za afya na elimu, kuunganisha taifa kwa miundombinu ya kisasa, na kuipa Tanzania heshima kubwa katika diplomasia ya kimataifa.

Kwa rekodi hii ya mafanikio, ni wazi bila shaka kwamba Rais Samia anatosha na anafaa kuendelea kuliongoza Taifa letu kuelekea uchumi imara na maisha bora kwa wote.

GjA_wKVXoAAjonv.jpeg
 
View attachment 3436119
Lolote baya limpate kabla ya October nchi ipone
 
Tuombe Mungu haya yapite tukiwa salama kama Taifa. Japo ingependeza zaidi kama Uchaguzi ungefanyika tukiwa wamoja zaidi kuliko ilivyo sasa. Malalamiko na vilio ni vingi. Wananchi wa kawaida, viongozi wa dini, ndani ya CCM, nje ya CCM, vyama vya upinzani. Wengine wako magerezani na huko huko hata kabla hawajahukumiwa, wanahesabiwa kuwa ni wafungwa tayari, wapo wanaolilia ndugu na jamaa zao hawawaoni, wametekwa, wameuawa, hawajulikani walipo.

Amani, Mshikamano na umoja na Mshikamano wetu kama Taifa msingi wake ni HAKI.

ilikuwa vizuri kubomoa ukuta wenye nyufa na kujenga palipobomoka kuliko kusubiri boma libomoke lote na msingi pia.
 
π‘΅π’‚π’‚π’π’…π’Šπ’Œπ’‚ 𝑹𝒂𝒔𝒉𝒅𝒂

Kesho, Rais Samia Suluhu Hassan atachukua fomu ya kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu β€” tukio muhimu linaloashiria mwendelezo wa uongozi wenye dira na matokeo.

Kwa kipindi cha uongozi wake, Rais Samia ameonesha uthubutu, uadilifu na ufanisi katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Ameimarisha uchumi, kuboresha huduma za afya na elimu, kuunganisha taifa kwa miundombinu ya kisasa, na kuipa Tanzania heshima kubwa katika diplomasia ya kimataifa.

Kwa rekodi hii ya mafanikio, ni wazi bila shaka kwamba Rais Samia anatosha na anafaa kuendelea kuliongoza Taifa letu kuelekea uchumi imara na maisha bora kwa wote.

View attachment 3436119
Samia namkubali ila CCM siikubali
 
Back
Top Bottom