Samia Suluhu Hassan mambo vipi? Naona bado Unafurahia Ushindi wa Kishindo wa 98%

na bado anaipeperusha bendera vyema kabisa kwenye madictator bora duniani, Note this kimataifa atakuwa dictator bora wa mwaka ila hapa ndani atakuwa Great Of All Time kwenye udictator
 
Mnaharibu hili jukwaa, wewe Ponjoro wa Kinondoni kuwa na adabu kwa Mh. Rais, unaharibu jukwaa linaonekana ni genge la wajaa laana na wahuni kama wewe ponjoro.
Kuweni na adabu kwa Mh Rais, hili jukwaa litumike kama fursa ya watu ku generate mitaji, tuonyeshe adhima ya kufanya maendeleo badala ya kudhiaki watu.
after all hamna uwezo wakuzuia mipango ya serikali, kazi lazima ziendelee
 
Hatuwezi kuwa na adabu kwa huyo ajuza chizi anayenuka damu za watu wasio na hatia.......huyo ajuza chizi na gengee lake wewe ukiwemo ni LAANA KUU ndani ya hili Taifa

Tutahakikisha tunalitakasa tena hili Taifa muda si mwingi
Ndo maana mnafanya jukwaa limekuwa la hovyo kiasi cha serikali kubuni njia zao za kuzungumza na wananchi, hizo chuki zako ni Bure kabisa kwasababu unayemchukia yupo kwa Mujibu wa katiba ya nchi hadi 2030 unajitesa Bure, na 2030 anakuja mwana CCM mwngine mpka 2040 we endelea kubwabwaja ugolo humu
 
Mnaharibu hili jukwaa, wewe Ponjoro wa Kinondoni kuwa na adabu kwa Mh. Rais, unaharibu jukwaa linaonekana ni genge la wajaa laana na wahuni kama wewe ponjoro.
Kuweni na adabu kwa Mh Rais, hili jukwaa litumike kama fursa ya watu ku generate mitaji, tuonyeshe adhima ya kufanya maendeleo badala ya kudhiaki watu.
after all hamna uwezo wakuzuia mipango ya serikali, kazi lazima ziendelee
Unapoitaga watu nyumbu humu huwa una genwrate mtaji?
 
Ndo maana mnafanya jukwaa limekuwa la hovyo kiasi cha serikali kubuni njia zao za kuzungumza na wananchi, hizo chuki zako ni Bure kabisa kwasababu unayemchukia yupo kwa Mujibu wa katiba ya nchi hadi 2030 unajitesa Bure, na 2030 anakuja mwana CCM mwngine mpka 2040 we endelea kubwabwaja ugolo humu

Niwie RADHI sana kwa kujibishana na wewe mtu usiyejitambua hata chembe,zaidi ya UCHAWA ni nini kingine ukijuacho?

Nisamehe bure maana makosa ni yangu kweli
 
Back
Top Bottom