Hivi hujui hili jukwaa limefungiwa na serikali yako haramu unayoitumikia? Kwa nini unalitumia?Mnaharibu hili jukwaa, wewe Ponjoro wa Kinondoni kuwa na adabu kwa Mh. Rais, unaharibu jukwaa linaonekana ni genge la wajaa laana na wahuni kama wewe ponjoro.
Kuweni na adabu kwa Mh Rais, hili jukwaa litumike kama fursa ya watu ku generate mitaji, tuonyeshe adhima ya kufanya maendeleo badala ya kudhiaki watu.
after all hamna uwezo wakuzuia mipango ya serikali, kazi lazima ziendelee