Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Safi sana, sherehe za tuzo zitafanyika wapi?na bado anaipeperusha bendera vyema kabisa kwenye madictator bora duniani, Note this kimataifa atakuwa dictator bora wa mwaka ila hapa ndani atakuwa Great Of All Time kwenye udictator
Kura umepiga🤔na bado anaipeperusha bendera vyema kabisa kwenye madictator bora duniani, Note this kimataifa atakuwa dictator bora wa mwaka ila hapa ndani atakuwa Great Of All Time kwenye udictator
Kupitia mchuano wa u dictator bora, naweza sema pasi na shaka kuwa nimempigia kura yangu.na bado anaipeperusha bendera vyema kabisa kwenye madictator bora duniani, Note this kimataifa atakuwa dictator bora wa mwaka ila hapa ndani atakuwa Great Of All Time kwenye udictator
Safi sana, sherehe za tuzo zitafanyika wapi?
Wakati huo unatumia ID fake kumtukana ! Kwa nini usiite press umseme live?Ile ratiba uliyopanga kuanzia tarehe 3 kuanza ziara ya kushukuru wananchi nchi nzima bado ipo?
Vipi ile ya Korea kusini nayo ipo?
Nijibu pm.
Wakati huo unatumia ID fake kumtukana ! Kwa nini usiite press umseme live?
Ile ratiba uliyopanga kuanzia tarehe 3 kuanza ziara ya kushukuru wananchi nchi nzima bado ipo?
Vipi ile ya Korea kusini nayo ipo?
Nijibu pm.
Ndo maana mnafanya jukwaa limekuwa la hovyo kiasi cha serikali kubuni njia zao za kuzungumza na wananchi, hizo chuki zako ni Bure kabisa kwasababu unayemchukia yupo kwa Mujibu wa katiba ya nchi hadi 2030 unajitesa Bure, na 2030 anakuja mwana CCM mwngine mpka 2040 we endelea kubwabwaja ugolo humuHatuwezi kuwa na adabu kwa huyo ajuza chizi anayenuka damu za watu wasio na hatia.......huyo ajuza chizi na gengee lake wewe ukiwemo ni LAANA KUU ndani ya hili Taifa
Tutahakikisha tunalitakasa tena hili Taifa muda si mwingi
Unapoitaga watu nyumbu humu huwa una genwrate mtaji?Mnaharibu hili jukwaa, wewe Ponjoro wa Kinondoni kuwa na adabu kwa Mh. Rais, unaharibu jukwaa linaonekana ni genge la wajaa laana na wahuni kama wewe ponjoro.
Kuweni na adabu kwa Mh Rais, hili jukwaa litumike kama fursa ya watu ku generate mitaji, tuonyeshe adhima ya kufanya maendeleo badala ya kudhiaki watu.
after all hamna uwezo wakuzuia mipango ya serikali, kazi lazima ziendelee
Lini mkuu nimeita watu nyumbuUnapoitaga watu nyumbu humu huwa una genwrate mtaji?
Ni laana inayolitafuna Taifa.Ile ratiba uliyopanga kuanzia tarehe 3 kuanza ziara ya kushukuru wananchi nchi nzima bado ipo?
Vipi ile ya Korea kusini nayo ipo?
Nijibu pm.
Ndo maana mnafanya jukwaa limekuwa la hovyo kiasi cha serikali kubuni njia zao za kuzungumza na wananchi, hizo chuki zako ni Bure kabisa kwasababu unayemchukia yupo kwa Mujibu wa katiba ya nchi hadi 2030 unajitesa Bure, na 2030 anakuja mwana CCM mwngine mpka 2040 we endelea kubwabwaja ugolo humu
Kwani wewe unakijua nn mkuuNiwie RADHI sana kwa kujibishana na wewe mtu usiyejitambua hata chembe,zaidi ya UCHAWA ni nini kingine ukijuacho?
Nisamehe bure maana makosa ni yangu kweli