Samia Suluhu Hassan mambo vipi? Naona bado Unafurahia Ushindi wa Kishindo wa 98%

Hivi hujui hili jukwaa limefungiwa na serikali yako haramu unayoitumikia? Kwa nini unalitumia?
 
Hivi hujui hili jukwaa limefungiwa na serikali yako haramu unayoitumikia? Kwa nini unalitumia?
Hakuna serikali haramu duniani serikali zote zipo kwa Mujibu wa katiba, ni vema ukaendelea na shughuli zako kwasababu serikali ipo na itaendelea kuwepo Daima
 
Hakuna serikali haramu duniani serikali zote zipo kwa Mujibu wa katiba, ni vema ukaendelea na shughuli zako kwasababu serikali ipo na itaendelea kuwepo Daima
Basi nikuulize hivi: hujui kuwa hili jukwaa limefungiwa na serikali? Kwa nini unatumia jukwaa ambalo serikali imelifungia?
 
Basi nikuulize hivi: hujui kuwa hili jukwaa limefungiwa na serikali? Kwa nini unatumia jukwaa ambalo serikali imelifungia?
Limefungiwa kwasababu limejaa WATU kama wewe ambao ni useless kwa ustawi wa Taifa letu
 
You make yourself look like headless chicken just for b7.
 
Wewe na Samia ni wapumbavu tu.
 
Wakati huo unatumia ID fake kumtukana ! Kwa nini usiite press umseme live?
Resources mlizo pewa hazitoshi kupata mpaka ajitokeze hadharani? Mnapaswa mkatwe posho zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…