GE2025 Samia Suluhu Hassan won the election by 98%, no rigging, wow! Women!🤣🤣

GE2025 Samia Suluhu Hassan won the election by 98%, no rigging, wow! Women!🤣🤣

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili ni ā€˜donda chungu’ kwa maafisa usalama kushinda raia,

Huko wazalendo wanajiukiza ni vipi wamekuwa cowards hivi, kuangalia nchi inavyo haribiwa.

Let’s not make any mistakes, Samia ni kiazi wa darasa la saba hana huo uwezo wa kuendesha nchi hata chembe.

Kafikaje kuwa makamu wa raisi, hayo ni maswali ya kujiuliza; so is weledi wa vyombo vyetu vya usalama waliompa nchi huyu mama kilaza.

There is so much blame to be shared.
 
IMG_8055.jpeg


Even the shade room known for US celebrity gossip is posting about Tanzania election.

Leave everything aside, tupo hapa kwa sababu vyombo vyetu vya ulinzi kwa kutuangusha, Ndio ujue vyombo vyetu vya ulinzi vilivyo hovyo.

ā˜ļøThat’s a whole of story ya mamlaka ya teuzi, kuelezea walivyo watu wa hovyo.

We are just a pathetic nation
 
Matokeo 98%?

Hata Kim Jong Un kacheka , Bro relax… ata mimi siendi hivyo
 
Back
Top Bottom