Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
mwanzoni nilikuwa sikuelewi, sasa nimekuelewa vizuri. Kumbe mimi sio mtu wa daraja lako, kwa sababu lugha ninayoitumia sio ya daraja lako ndiyo maana huilewi. Endelea kumezeshwa sumu, huku ukiongopewa kuwa ni maziwa fresh kutoka kwa ng'o,be wakati ni sumu ya kufisha. Kwa hakika kanuni iko wazi mtu akishupaza shingo yake, mwishoni atavunjika vunjika, kwaheri
nimekwambia kuwa mimi sio wa daraja lako. mimi ni huru, wewe ni mtumwa, kumbuka maana ya mtumwa, kama hujui, sio jukumu langu kukufundisha. ndiyo maana niandikacho mimi ni daraja la juu, as a result, you fail to comprehend. Mara ooohhh!!!! eti nimetumia biblical terms, kelele zote hizo ni kwa sababu huelewi niandikacho, bila shaka hata neno la kwa heri hujui lilimaanisha nini!!!! my advice to you, soma kimya kimya na usijibu kitu bila kufanya tafakari ya kina, kama wale walioahidi computer mkumbato kwa kila mwanafunzi wa S/M hapa Tanzania, wakati wanajua vijijini hakuna umeme tena hakuna madarasa ya kutosha. TAFAKARIKanuni ya wapi? Na ya nani Nakuonea huruma umeamua kuja na Biblical verse ya ushabiki pasipo kuielewa na bila aibu umeamua kujiongezea maneno yako mwenyewe ya chini ya mwembe Ole wako!!!! jipange upya na endelea kutumika tu!
Mkuu naomba achana na huyu mtu he/she is not worth your time and energy!kwani ulichompa katika post no.37 na alichojibu kwenye post n0. 39 ni kheri kuachana nae 1 mweupe kabisa!mwanzoni nilikuwa sikuelewi, sasa nimekuelewa vizuri. Kumbe mimi sio mtu wa daraja lako, kwa sababu lugha ninayoitumia sio ya daraja lako ndiyo maana huilewi. Endelea kumezeshwa sumu, huku ukiongopewa kuwa ni maziwa fresh kutoka kwa ng'o,be wakati ni sumu ya kufisha. Kwa hakika kanuni iko wazi mtu akishupaza shingo yake, mwishoni atavunjika vunjika, kwaheri
Asante kwa ushauri wako mzuri Ndg. 124 Ali, umenena jambo jema. Ushauri wako nitauzingatia sanaMkuu naomba achana na huyu mtu he/she is not worth your time and energy!kwani ulichompa katika post no.37 na alichojibu kwenye post n0. 39 ni kheri kuachana nae 1 mweupe kabisa!
Mkuu naomba achana na huyu mtu he/she is not worth your time and energy!kwani ulichompa katika post no.37 na alichojibu kwenye post n0. 39 ni kheri kuachana nae 1 mweupe kabisa!
Asante kwa ushauri wako mzuri Ndg. 124 Ali, umenena jambo jema. Ushauri wako nitauzingatia sana
Tumesha achana na wewe!Umelewa viroba wewe!pilipili usoila inakuwashia nini?
Asante sana Kiongozi, umeona tarehe aliyojiunga huyo jamaa hapo juu. Inaonesha yuko kwenye payment list, umenishauri jambo la maana, aendelee na ujinga wake. Maana hataki kuelimishwa!!!Tumesha achana na wewe!
CC Mwakaboko
Ha!ha!hana uwezo wa kuelimika kwani akili aliyopewa ina password kibao na zote ziko Lumumba !Asante sana Kiongozi, umeona tarehe aliyojiunga huyo jamaa hapo juu. Inaonesha yuko kwenye payment list, umenishauri jambo la maana, aendelee na ujinga wake. Maana hataki kuelimishwa!!!
Tumesha achana na wewe!
CC Mwakaboko
Asante sana Kiongozi, umeona tarehe aliyojiunga huyo jamaa hapo juu. Inaonesha yuko kwenye payment list, umenishauri jambo la maana, aendelee na ujinga wake. Maana hataki kuelimishwa!!!
Tumesha achana na wewe!
CC Mwakaboko
Yaani mpaka raha!jitu zuzu hili! halijui lishikilie hoja ipi!mwakaboko peleka hospitali huyu, keshachanganyikiwa !Id moja ndo naona inazungukazunguka inapost na kujijibu!
Huyu jamaa hajitambui, ndiyo maana anapost hovyo hovyo bila kufikiria, pata picha eti 124 Ali ni mwakaboko, anajitambua kweli huyu!!! huyu ni mmoja kati ya mizigo aliyokuwa akiisema Banana, huku akiwa amejisahau kuwa Mwongoza vikao wake ndiye aliyewachagua, kwa hiyo banana kwa namna moja au nyingine alimtusi mkulu wake, nadhani umenielewa. Tuachane nae, tusimpeleke hospitali atatumalizia dawa bure tumwache akajifie mbaliYaani mpaka raha!jitu zuzu hili! halijui lishikilie hoja ipi!mwakaboko peleka hospitali huyu, keshachanganyikiwa !
teh!! teh!!! teh!!aaaaahhhhh!!!!!Tujichange ndg yangu,:fish: kama yuko tayari tumpeleke pale SUA, akanolewe, ila sijui kama atasurvive mpaka mwisho, maana SUA nayo ina mambo yakeHa!ha!hana uwezo wa kuelimika kwani akili aliyopewa ina password kibao na zote ziko Lumumba !
Ha!ha!hana uwezo wa kuelimika kwani akili aliyopewa ina password kibao na zote ziko Lumumba !
Yaani mpaka raha!jitu zuzu hili! halijui lishikilie hoja ipi!mwakaboko peleka hospitali huyu, keshachanganyikiwa !
Bado uko around pin head?We mwenyewe umetoroka milembe!
Lovely mnyange wa maarifa na juha wa akili!Akili yako imefungiwa mtaa wa ufipa!
Bado uko around pin head?