Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
mwanzoni nilikuwa sikuelewi, sasa nimekuelewa vizuri. Kumbe mimi sio mtu wa daraja lako, kwa sababu lugha ninayoitumia sio ya daraja lako ndiyo maana huilewi. Endelea kumezeshwa sumu, huku ukiongopewa kuwa ni maziwa fresh kutoka kwa ng'o,be wakati ni sumu ya kufisha. Kwa hakika kanuni iko wazi mtu akishupaza shingo yake, mwishoni atavunjika vunjika, kwaheri
Kanuni ya wapi? Na ya nani Nakuonea huruma umeamua kuja na Biblical verse ya ushabiki pasipo kuielewa na bila aibu umeamua kujiongezea maneno yako mwenyewe ya chini ya mwembe Ole wako!!!! jipange upya na endelea kutumika tu!