Mmejipanga "nchi hii" kufanya uhalifu?Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akiwa Kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama amejipanga kuilinda Nchi hii na hakutakuwa na vurugu zozote wala chochote na kuwataka wananchi waende kupiga kura siku ya uchaguzi na kurudi Nyumbani.
Hata Nepal walikuwa na amiri waoMgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akiwa Kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama amejipanga kuilinda Nchi hii na hakutakuwa na vurugu zozote wala chochote na kuwataka wananchi waende kupiga kura siku ya uchaguzi na kurudi Nyumbani.
Mwekezaji 🥰
Mtu wa kazi, anapopita Bank zote zinatetemeka...Mwekezaji 🥰
Wataleban wana akili sana
nilitaka kuandika kitu hapa..... lakini nawaonea huruma moderatorMwekezaji 🥰