GE2025 Samia: Tumejipanga kulinda nchi hii wala hakutakuwa na vurugu siku ya uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kikinuka anapanda helicopter fasta na kusepa.

Amiri jeshi mkuu wa nyoko.
 
Hongera Rais wetu, ahadi yako imetimia Wazalendo tunakuombea
 
Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akiwa Kama Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama amejipanga kuilinda Nchi hii na hakutakuwa na vurugu zozote wala chochote na kuwataka wananchi waende kupiga kura siku ya uchaguzi na kurudi Nyumbani.
Galafu badae ikawaje?
 
Kwa hili mwl.mnoko niliishia kutoa marks 18 tena kwa shingo upande kwa kuwa ni wito!
 
Back
Top Bottom