King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Huyu mama anaongea utafikiri kakatwa kichwa ,genge lake la wahuni wameuoa watu hovyo hovyo kwa order yake halafu anakuja kuleta UNAFIKi?Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298