King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Huyu mama anaongea utafikiri kakatwa kichwa ,genge lake la wahuni wameuoa watu hovyo hovyo kwa order yake halafu anakuja kuleta UNAFIKi?Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
hii picha yake huwa nawaonyesha wanangu wadogo nawaambia huyu ndio shetani mkuuSamia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
kwako pia mkuu sisi tupo kwa gwajimaHuyu bi chura amesha changanyikiwa
Machawa kazi kwenu kumtuliza
HAPPY NEW YEAR kwa members woote wa JF
Kwa sasa nipo bado JAMAICA
BLACKTIGER
Labda anawasemea akinaHao wapendwa wao wameondoka kwa namna gani na kwa usafiri gani na wameondoka kwenda wapi?!
chai jaba 😁 😁Hivi huyu mama kwa nini asiwe anafunga bakuli lake
Good questionHao wapendwa wao wameondoka kwa namna gani na kwa usafiri gani na wameondoka kwenda wapi?!
maisha marefu afanye niniMama sina la kusema ila kila siku nakuombea zaidi na zaidi mungu akupe maisha marefu mama....ila mama naweza sema umebeba mzigo mzito sana ambao huwezi ubeba mama....
Hili swali mbona hawajibu? Wapendwa wetu wa nchi jirani auSi walitoka nchi jirani
Hongera mkuu mamaako unamuombea leo! Amekuzaa vyema, amepata Ntoto mwerevu.Mama sina la kusema ila kila siku nakuombea zaidi na zaidi mungu akupe maisha marefu mama....ila mama naweza sema umebeba mzigo mzito sana ambao huwezi ubeba mama....
Mkuu nisadie kusema kwa lugha ya kiingereza kwamba hata wewe stakehigh utaondoka hapa duniani na hutorudi tena duniani kama hao walioondoka na stori yako itaishia hapo. Nisaidie tafadhali kwa kujiweka wewe muhusika wa kuondoka duniani.cha muhimu wapumzike kwa amani, hio story ishaisha and they arent comming back
Miili ya wapendwa wetu iko wapi? Ili ikazikwe kwa heshimaSamia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
Wamesafi wako majuuHao wapendwa wao wameondoka kwa namna gani na kwa usafiri gani na wameondoka kwenda wapi?!
Sijui angetumia msamiati gani ingetokea ajali kama ya mv bukobaHuyu mwanamke anakera sana,tumeondokewa na wapendwa wetu au ametuondolea wapendwa wetu!?
Pia hatujaondokewa amewaondoa amewauwa Kwa uonevu.Aliyewaondoa nani na kwanini??
Na hatua gani zimechukuliwa kulireplace hao ndugu?