field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Wewe si ndiyo umewaua.....Mpumbavu wewe na sura yako mbaya.Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
aisee mimi hili swali nakaaga najiuliza hata mimi na sipati majibuHivi huyu mtu Urais aliupataje?
Kazi za kiume akipewa mwanamke hakuna rangi utaacha kuonaMbona ana sura mbaya hivyo
Ghafla wahainoi wamekuwa wapendwa wake......mara pasp watoto wananchi waliolelewa vibaya ni wapendwa nao ??...apambane na damu zao zinavyolia huko ....na ardhi haitaki....ni.laanass tupuuSamia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
Ngumu sanaHili swali mbona hawajibu? Wapendwa wetu wa nchi jirani au
Mkuu kauli zako kuhusu maisha ya binadamu wenzio waliouwawa zinaweza kukuletea shida baadaye.ata ulie ufanye nn they are gone and nothing can bring them back, accept that
Huyu kiumbe kweli ni shetani nimeamini sasa.Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
View attachment 3523298
Unamuombeaje mhaini na mwizi!? kwani vibaka mnaowachoma mkiwakamata huwa mnawaombea kwanza?Aiseee kwa hiyo waliouwawa hatuwaombei ama?
Mboja hasema hao waliouliwa na kikosi chake tunawakumbukaje.
Wapo walioondoka Kwa kujiondoa wenyewe, wengine Maradhi, wengine ajali, wengine wameondolewa Kwa Risasi..Hao wapendwa wao wameondoka kwa namna gani na kwa usafiri gani na wameondoka kwenda wapi?!
JamiiCheck pitia hii video maana siku hizi kutofautisha AI na video halisi ni ngumu sana...Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"
hakuna ujeuri apo, huo ndo uhalisia na inafaa ujifunze kuishi nao at all cost! Wewe kulia sjui kuna watu walikufa 29 haitasaidia chochote na wala hawawezi kurudi, ishi nayo ivo kwa sababu ndo uhalisiaMkuu kauli zako kuhusu maisha ya binadamu wenzio waliouwawa zinaweza kukuletea shida baadaye.
Zimekuwa za jeuri na dharau.
Mengine bora unyamaze tu hata kama unachotaka kusema upo sahihi.
Mkuu Waufukwe, WaufukweniSamia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"