Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time so does the the narratives!. This current narrative ya wapendwa wetu it's an apologetic narrative Voices From Within: Japo Mwanzo Alikiri, Sasa Amejutia, Ameumia, na Ameomba Msamaha Implied, Tumsamehe, Yaishe!Mara kifo ni kifo tu, mara nguvu iliyotumika ni sawa, mara tumeondokewa na wapendwa wetu tuwaombee.
Has she lost her marbles?
Rais anatakiwa kuwa clear, aki change aseme hapa nilifikiri hivi, nilikosea, sasa ninafikiri hivi.Human beings are not static, they are dynamic and hence they change with time so does the the narratives!. This current narrative ya wapendwa wetu it's an apologetic narrative Voices From Within: Japo Mwanzo Alikiri, Sasa Amejutia, Ameumia, na Ameomba Msamaha Implied, Tumsamehe, Yaishe!
P
Anadai mlimpigia kura na hadi saa tano asubuhi kabla ya maandamano kuanza alishapata kura takriban milioni 31π π πHivi huyu mtu Urais aliupataje?
Kwa hiyo anaona aibu kutamka moja Kwa moja? Wenzake wapi walioondoka? Maana marehemu wa Oct 29 aliwaita wahaini na raia wa kigeni.Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea"