Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Tupeni kazi, tukafanye kazi ili kuinua utu wa Mtanzania." Amesema Dkt. Samia wakati wa Mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 23, 2025 Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Rais Samia akisisitiza kupewa kazi ili akasimamie utu wa Mtanzania, amebainisha kuwa ataendelea kusimamia suala la mitaji, masoko na maeneo ya kufanyia biashara kwa Mama Lishe na Baba Lishe pamoja na machinga, akiahidi kusimamia kikamilifu uendelevu katika utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa kwa wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu.