Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wanainua utu kuupeleka wapi ?"Tupeni kazi, tukafanye kazi ili kuinua utu wa Mtanzania." Amesema Dkt. Samia wakati wa Mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 23, 2025 Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Rais Samia akisisitiza kupewa kazi ili akasimamie utu wa Mtanzania, amebainisha kuwa ataendelea kusimamia suala la mitaji, masoko na maeneo ya kufanyia biashara kwa Mama Lishe na Baba Lishe pamoja na machinga, akiahidi kusimamia kikamilifu uendelevu katika utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa kwa wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu.
Utu ukuwapi mnapigwa virungu kama punda?Kumbe Utu wa Mtanzania haukuwepo? 🤣 yaani hakukuwa na UTU?
...just curious: 1. Utu ni nini?, 2. Utu upi unalengwa? 3. Kwani utu wa mtanzania umeinama kwa Sasa? 4. Na nani aliuinamisha? 5.Kwa nini aliuinamisha..? 6. Utu huu utainuliwaje?7. Nani atagharamia uinuaji wa utu huo unaozungumzwa? 8. Dalili za kujiridhisha utu umeinuliwa zitakuwa zipi? 9. Uinuaji wa utu tutaanza lini na kuisha lini? na 10. ....!!!utu wa Mtanzania
Kinachofurahisha kama mpya vile kumbe alikuwepo,yupo na anatakusalia tenaKumbe Utu wa Mtanzania haukuwepo? 🤣 yaani hakukuwa na UTU?
Huyu wahuni wanampangia tu cha kusema jukwaani, hawezi kuhoji 'how'!.Kumbe Utu wa Mtanzania haukuwepo? 🤣 yaani hakukuwa na UTU?