Atheists hawaruhusiwi kuwa viongozi wanaolishwa kiapo Tanzania?
Hakuna kitu hapa, umeme mdogoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu, akisisitiza kuwa kiapo ni ahadi nzito mbele ya Mungu.
"ukiapa unaapa mbele ya Mungu. Hii sio tu procedure ya serikali, lakini tunajua Mungu anatushuhudia. Kwa hiyo kikikiuka moja katika mambo mliyoyasema wenyewe hapa kwenye kiapo kile cha kazi na kiapo cha maadili basi huwa kuna hukumu ya Mungu. Serikali inaamrishwa tu kupitia Rais kwamba huyu ana haya na haya na haya ebu weka pembeni, unawekwa pembeni. Kwa hiyo nwakumbusheni kuishi na viapo vyenu."
Faki zati bi+ch. Angekuwa anajua kuna Mungu yeye na majambazi wake wasingekuwa wanawawinda Watanganyika na kuwaua kama digidigi!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi waliokula viapo vyao leo Mei 6, 2026 Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma, kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa uadilifu, akisisitiza kuwa kiapo ni ahadi nzito mbele ya Mungu.