Mungu amekupa nafasi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa raisi wa Tanzania tangu Mungu iumbe Tanzania. Badala ya kuitumia nafasi hiyo vizuri ili ionyeshe watanzana na dunia zima kuwa hata wanawake wanaweza kuwa viongozi.
Wewe umeitumia kutanganzia dunia kuwa wanawake hasa wa kiafrika hawezi kabisa kuwa viongozi. Yaani umeaibisha wanawake wote duniani. Obama alivyo kuwa rais wa marekani kama raisi wa kwanza mweusi kuwahi kuitawala nchi hiyo alihakikisha kila mwanaume mweusi anatembea kifuwa mbele.
Kwani Obama alihakikisha anaendesha nchi kwenye mistari iliyo nyoka. Na mpqkq leo Obama watu wanatamani awe raisi tena . Hata wazungu wabaguzi walijaribu kutafuta makosa yake wakakosa mpaka wakaishia kudanganya watu kuwa ni muislam na sio raia wa marekani. Uongo huo hakumpunguzia umaarufu wake hata kidogo.
Lakini wewe Samia uongozi mbovu ulio uonyesha kwa dunia nzima itachukuwa Karine nyingine kuja kusafisha uchafu wako mpaka watanzania na wafrika kwa ujumla kuja kuamini tena kama mwanamke anaweza kuwa raisi mzuri.
Bado hujachelewa ebu kaachini na watu wema ambao hawahitaji chochote kutoka kwako uwaombe ushauri namna ya kurudisha heshima ya wanawake kabla ya uchaguzi wa mwaka huu. Ukilazimisha kutumia nguvu kuwa raisi kwa kipindi cha pili utakuwa sio tu umejiangamiza bali pia utakuwa umeangamiza kizazi chako na kizazi cha wanao.
Naandika haya sio kwasababu sikupendi au kwa sababu mimi sio mwanachama wa ccm. Mimi na andika haya kama mtu asiye hitaji chochote kutoka kwa mtu yoyote. Naandika haya kama mtanzania asipenda kuona mtu yoyote akionewa.
Mwisho nakuombea maisha marefu ili kabla Tanzania haijataka mikononi mwa CCM. Maana bila CCM kutoka madarakani itakuwa vigumu wanaCCM wengi kutumia akili kufikiri na kuona mambo kwa uhalisia.