Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Tangu utangaze kuwa umesikia "kelele" zetu kuhusu tozo za simu na siyo hoja na kwamba serikali yako ya CCM itazishughulikia, bado zimeendelea kuwepo na kutuumiza.
Busara za kibinadamu zinataka baada ya kuzisikia na kuahidi kuzishughulikia tozo hizi zingesimamishwa mara moja hadi maamuzi mapya kutolewa.
Kwa nini unaruhusu tozo hizi kuendelea kutozwa? Je, Mawaziri wako wamekuzidi nguvu? Je, huna uwezo kuzisimamisha? Je, unavuta muda ili ukusanye fedha za kutosha?
Sisi wananchi uvumilivu umefika kikomo, usitutake maneno!