Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kumbe ulitakaje?Unaangalia communication growth rate?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulitakaje?Unaangalia communication growth rate?
Tuna takamtu.Hiyo imetoka hakuna kitu hapo
Kwa nini unasema wananchi wanyonge hili neno sio zuri wananchi ndio wanao changia mapato Tanzania hii na kuwa wanyonge ni uijingaCabinet imekaa leo. Let's wait; labda kwa mara ya kwanza watakuja na jipya +ve kwa mwananchi mnyonge.
Tangu utangaze kuwa umesikia "kelele" zetu kuhusu tozo za simu na siyo hoja na kwamba serikali yako ya CCM itazishughulikia, bado zimeendelea kuwepo na kutuumiza.
Busara za kibinadamu zinataka baada ya kuzisikia na kuahidi kuzishughulikia tozo hizi zingesimamishwa mara moja hadi maamuzi mapya kutolewa.
Kwa nini unaruhusu tozo hizi kuendelea kutozwa? Je, Mawaziri wako wamekuzidi nguvu? Je, huna uwezo kuzisimamisha? Je, unavuta muda ili ukusanye fedha za kutosha?
Sisi wananchi uvumilivu umefika kikomo, usitutake maneno!
Nimekuelewa! Unakufa na tai shingoni!