Sisi wananchi uvumilivu umefika kikomo
Naona ni vyema tozo zikaendelea kama kawaida. Tutazoea tu, ila la msingi ni kuwa serikali iweze kutekeleza matumizi walioyakusudia kutokana na hizi tozo.Tangu utangaze kuwa umesikia "kelele" zetu kuhusu tozo za simu na siyo hoja na kwamba serikali yako ya CCM itazishughulikia, bado zimeendelea kuwepo na kutuumiza...
Unategemea kitu kwa ufisadi huu!πππNaona ni vyema tozo zikaendelea kama kawaida. Tutazoea tu, ila la msingi ni kuwa serikali iweze kutekeleza matumizi walioyakusudia kutokana na hizi tozo.
Ko mimi nitakuja kuilaumu serikali endapo tozo zetu hazitaleta mabadiriko yoyote ya miundo mbinu kama walivyokusudia.
Brother hakuna kitu hapoo..yaan barabara zitabak kama zilivyoo hizo pesa zinaenda kwenye matumbo ya kina ndrugrayiiii...na hao msoga gangNaona ni vyema tozo zikaendelea kama kawaida. Tutazoea tu, ila la msingi ni kuwa serikali iweze kutekeleza matumizi walioyakusudia kutokana na hizi tozo.
Ko mimi nitakuja kuilaumu serikali endapo tozo zetu hazitaleta mabadiriko yoyote ya miundo mbinu kama walivyokusudia.
Mwambie! Sijui ni kitu gani kinamuaminisha kuwa fedha itajenga miundombinu!Brother hakuna kitu hapoo..yaan barabara zitabak kama zilivyoo hizo pesa zinaenda kwenye matumbo ya kina ndrugrayiiii...na hao msoga gang
Rais Samia hawezi kazi, hilo lipo wazi sasa, angalia tangu ameingia ameteua wangapi? Je, ni kweli hao alio wateua wataongeza ufanisi? Kwa nini amezuia TRA kutoa figures za makusanyo ya mwezi? Anaficha nini? Tanzania sio nchi binafsi ya kwake au ya ka-ukoo wake. Aibu!Mwambie! Sijui ni kitu gani kinamuaminisha kuwa fedha itajenga miRaundombinu!
Nchi inaelekea shimoni!Rais Samia hawezi kazi, hilo lipo wazi sasa, angalia tangu ameingia ameteua wangapi? Je, ni kweli hao alio wateua wataongeza ufanisi? Kwa nini amezuia TRA kutoa figures za makusanyo ya mwezi? Anaficha nini? Tanzania sio nchi binafsi ya kwake au ya ka-ukoo wake. Aibu!
wew mpingaji nini aisee!Naona ni vyema tozo zikaendelea kama kawaida. Tutazoea tu, ila la msingi ni kuwa serikali iweze kutekeleza matumizi walioyakusudia kutokana na hizi tozo.
Ko mimi nitakuja kuilaumu serikali endapo tozo zetu hazitaleta mabadiriko yoyote ya miundo mbinu kama walivyokusudia.
Unaangalia communication growth rate?Kuna watu walikuwa wanadanganya eti miamala sijui itasababisha uchumi kushuka na porojo kama hizo,kwa taarifa yenu someni hapa ππ
View attachment 1885034
View attachment 1885035
View attachment 1885036