Samia Urais si maneno ni vitendo, Kwanini unaruhusu tozo hizi kuendelea kutozwa?

Cabinet imekaa leo. Let's wait; labda kwa mara ya kwanza watakuja na jipya +ve kwa mwananchi mnyonge.
Kwa nini unasema wananchi wanyonge hili neno sio zuri wananchi ndio wanao changia mapato Tanzania hii na kuwa wanyonge ni uijinga
 

Tozo hizo ndogo sana jombi. Aziongeze maradufu itapendeza zaidi.
 
Wanançhi wamekubali tozo! Rejea mahojiano ya kikeke na Rais wewe kama bado hujakubali mheshimiwa waziri alishatoa maelekezo kuwa wasiotaka tozo waende burundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…