Tena ujuha Pro.Kuamini kuna kumezeshwa sumu katika dunia ya sasa ni ujuha.
The world is full of information sources ktk dunia ya sasa.
No one can fool the society ktk dunia ya sasa.
Ni wao viongozi wa sasa ndiyo wamegoma kubadilika ili waendane na nyakati za sasa.
Kwa huyu bibi Aibu utaona weweView attachment 3628340
Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao.
Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa Sheria uliofanyika Jijini Arusha.
Amesema katika mazingira ya sasa ya ushindani wa Kimataifa, baadhi ya Vijana wamekuwa wakishawishiwa na kulaghaiwa ‘Kumezeshwa Sumu’ kuichukia Nchi yao pamoja na kuhujumu juhudi za maendeleo zinazofanywa na Serikali zao.
“Nimemsikia mmoja wa Viongozi wakubwa duniani akisema kuwa yeyote anayewazidi kwa kasi ya maendeleo ni adui yao, Nchi zetu zinapopiga hatua mbele, wengine wanatafuta njia na mbinu za kuzivuta nyuma,” amesema Samia.
Ameongeza kuwa dunia inaendelea kushuhudia Mataifa yakihujumiana kwa njia mbalimbali, huku baadhi ya Vijana wakipewa taarifa na mitazamo inayowafanya kuhujumu Mataifa yao wenyewe.
“Tunashuhudia Vijana wakilaghaiwa, wengine wakimezeshwa sumu dhidi ya Mataifa yao na kushawishiwa kuhujumu uchumi unaojengwa kwa nguvu kubwa,” amesema.
Mkulu sijui huwa anapewa hizi taarifa na nani? Au ndio ile unasifiwa kukimbia hadi unapitiliza kwenu.“Tunashuhudia Vijana wakilaghaiwa, wengine wakimezeshwa sumu dhidi ya Mataifa yao na kushawishiwa kuhujumu uchumi unaojengwa kwa nguvu kubwa,” amesema.
Samia ndio anatoa sumu karibu kila akiongea kwa kauli zake, vitendo vyake, teuzi zake, wizi, ufisadi, utekaji, utesaji, ufiraji, uuaji wake na kuwapoteza Watanganyika wanaodai haki zao.View attachment 3628340
“Tunashuhudia Vijana wakilaghaiwa, wengine wakimezeshwa sumu dhidi ya Mataifa yao na kushawishiwa kuhujumu uchumi unaojengwa kwa nguvu kubwa,” amesema
Washauri hata wakimwambia haitasaidia kitu.Huyu bibi ni blank slate.Wewe hotuba anaandikiwa vizuri lakini umeona makosa aliyokuwa anafanya kipindi anasoma hiyo hotuba.Washauri wake hawamwambii ukweli hali ilivyo kwa ground? Tunataka maendeleo ya vitu au maendeleo ya watu?
Serikali yake inaua raia ,inateka watu hovyo ,inawanyonya wananchi kwa makodi yasiyo na kichwa wla miguuu halafu hizo fedha wanaenda kuzitumbua familia tatu tu Kiziga,kizimkazi na msoga.....Na wengine waliosalia wanakula kwa urefu wa kamba huku wananchi tukila VUMBI.View attachment 3628340