GE2025 Samia: Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo, ila akini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
“Toka nimeingia Mtwara kila jimbo nasikia watu wanashukuru kwa maendeleo. Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo kwa sababu wameshazoea. Lakini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo tena makubwa. Hatuwezi kuyapuuza,” amesema Dkt. Samia.

Amesisitiza kuwa pamoja na maneno ya upotoshaji yanayotolewa na wapinzani, Watanzania wanapaswa kutambua hatua kubwa zilizopigwa katika sekta mbalimbali ndani ya miaka mitano iliyopita.

Kuna mdau yupo Mwanza analalamika hakuna maji (just imagine kipindi cha uchaguzi) ambapo ndio wakati wa kuvutia na kuna Ziwa lipo a stone throw away..... All I can Say kwa hawa watawala haya ni mambo ya Aibu...

In Abundance of Water a Fool is Thirsty...
 
Watakaopata maendeleo miaka mi5 ijayo ya mama ni MAFISADI tuu, wanyonge watulie huku wakiomba Mungu kupata rais ajaye anayejielewa 2030 awapambanie kupata maendeleo!!.
 
Kijiji gani hicho kapita? Anajua maana ya Kijiji kweli huyu mama Abdul?
 
“Toka nimeingia Mtwara kila jimbo nasikia watu wanashukuru kwa maendeleo. Wale wanaosema hakuna maendeleo, elimu, afya, umeme na maji kwao si maendeleo kwa sababu wameshazoea. Lakini kwa sisi vijijini hayo mambo ni maendeleo tena makubwa. Hatuwezi kuyapuuza,” amesema Dkt. Samia.

Amesisitiza kuwa pamoja na maneno ya upotoshaji yanayotolewa na wapinzani, Watanzania wanapaswa kutambua hatua kubwa zilizopigwa katika sekta mbalimbali ndani ya miaka mitano iliyopita.

Malkia Yezebeli bwana!
 
Kuna mdau yupo Mwanza analalamika hakuna maji (just imagine kipindi cha uchaguzi) ambapo ndio wakati wa kuvutia na kuna Ziwa lipo a stone throw away..... All I can Say kwa hawa watawala haya ni mambo ya Aibu...

In Abundance of Water a Fool is Thirsty...
tukifika mahali tukafahamu maana ya dhana ya maendeleo, hata kwa tafsiri ya Nyerere, titajua kama haya yaliyopo ni maendeleo au?
 
Kwa tafsiri yoyote ile maendeleo theory yake ni moja tu

Kupiga hatua moja kwenda nyingine.
Kiuchumi na nyanja zote

Sasa tumepiga hatua gani tangu aje madarakani??
 
Back
Top Bottom