Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika sanduku tena bila uonevu.
=======================
“Wenzetu wanayolalamikia hakuna lisilozungumzika. Walilalamikia mengi, tumekaa, tumeyafanyia kazi, tumeunda matume, yametizamwa, kama bado kuna malalamiko na ninajua bado, tutakaa tutayazungumza tuone tunaiendesha vipi Zanzibar yetu"- Dkt. Samia.