PostGE2025 Samia wewe ni mama yangu mkubwa ila leo umezidisha hasira kwa Watanganyika. Subiri moto uwake upya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?

Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana

Soma Pia: Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
 
Inasikitisha sana, eti ripoti ni yake, hajui imetumika kodi ya walalahoi kulipa kila hatua kwenye hiyo tume na mchakato wote?

Wenzake wameungaunga elimu ila wana uwezo, wanajua wanachofanya. Huyu imekuwaje jamani?
 
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?

Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana

Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
Baada ya ukweli kuwekwa wazi mnalialia tu magaidi nyie

USSR
 
Inasikitisha sana, eti ripoti ni yake, hajui imetumika kodi ya walalahoi kulipa kila hatua kwenye hiyo tume na mchakato wote?

Wenzake wameungaunga elimu ila wana uwezo, wanajua wanachofanya. Huyu imekuwaje jamani?
Mkuu Samahani

Lakini ninachokitambua mtu wa kuungaunga hayuko na Subira kiasili
 
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?

Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana

Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
 
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?

Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana

Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
kwani mama yako si yupo una mama mwingine
 
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?

Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana

Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
Ni aibu na fedheha kumuita mama yako huyu shetani asiye na haya.
 
Kuna mtu kasema leo ndiyo kaamini Tanzania haina wachawi, wachawi wote hawa wameshindwa kumroga Samia? 😂😂
Watu hoi,ila wale waona mbali walijuwa tu report ikatayosomwa haya yatatokea,wala siyo jambo geni 😄

Ova
 
Attachments

  • IMG-20260423-WA0001.jpg
    IMG-20260423-WA0001.jpg
    80.5 KB · Views: 21
Wewe tatizo lako hujui kusoma kwa ufahamu.

Una utapiamlo wa ubongo.

Rudia kusoma nilichoandika halafu rekebisha hoja yako.

Kama hujaelewa, uliza.
umetumia kigezo cha mtu kasema
tatizo uhakika babu huenda ni wew mwenyewe ukaamuwa ujifiche kwenye mwavuli wa mtu kasema

pili kama ni mtu kasema kulibeba kuliweka akilini na kulileta humu maana yake unakubaliana na alichosema na unakiamini

hata wew unautapia mlo wa ubongo kama huamini kweli ulichokiandika kwann uhifadhi matapishi ya mwingine katika akili yako na kuyamwaga humu
 
Ilishasemwa "Tanganyika isn't a country anymore.. its a family owned business". Bila damu ya ukombozi kumwagika nchi yetu tumeipoteza.
 
Back
Top Bottom