Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Baada ya ukweli kuwekwa wazi mnalialia tu magaidi nyieKauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?
Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana
Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
Wahi MirembeBaada ya ukweli kuwekwa wazi mnalialia tu magaidi nyie
USSR
Mkuu SamahaniInasikitisha sana, eti ripoti ni yake, hajui imetumika kodi ya walalahoi kulipa kila hatua kwenye hiyo tume na mchakato wote?
Wenzake wameungaunga elimu ila wana uwezo, wanajua wanachofanya. Huyu imekuwaje jamani?
Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?
Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana
Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
kwani mama yako si yupo una mama mwingineKauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?
Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana
Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
Ukweli wa mnuka punani wa Kizimkazi huyo pamoja na nyie chawa wake, it's not shocking because that's exactly what we were expecting.Baada ya ukweli kuwekwa wazi mnalialia tu magaidi nyie
USSR
Ni aibu na fedheha kumuita mama yako huyu shetani asiye na haya.Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa?
Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana
Mimi naona aibu huku natokwa na machozi, nini kimekukuta mama wewe?
kumbe unaamini uchawi upo babuKuna mtu kasema leo ndiyo kaamini Tanzania haina wachawi, wachawi wote hawa wameshindwa kumroga Samia? ππ
Watu hoi,ila wale waona mbali walijuwa tu report ikatayosomwa haya yatatokea,wala siyo jambo geni πKuna mtu kasema leo ndiyo kaamini Tanzania haina wachawi, wachawi wote hawa wameshindwa kumroga Samia? ππ
Wewe tatizo lako hujui kusoma kwa ufahamu.kumbe unaamini uchawi upo babu
lakini huamini uwepo wa mungu
umetumia kigezo cha mtu kasemaWewe tatizo lako hujui kusoma kwa ufahamu.
Una utapiamlo wa ubongo.
Rudia kusoma nilichoandika halafu rekebisha hoja yako.
Kama hujaelewa, uliza.