PostGE2025 Samia’s “Who are You” TikTok challenge - Vijana wameamua

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Inabidi viongozi kujua kuwa approach ya ku-deal na kizazi cha sasa haiwezi kuwa kama ya zamani.

Hii ni aina flani ya advocacy inafanywa kwa namna inayochekesha lakini inafikisha ujumbe kwa watawala!

Una videos zaidi? Share!

View attachment 3510713

View attachment 3510715
who-are-you.jpg
 
Content Creator wasikupe moyo hao wanataka wapate likes na viewers tu wanapita na upepo wa chochote kilicho mbele yao ili wapige pesa
 
Lakini kuna waliothubutu wakakutana na cha moto.

Nyingine hii

Back
Top Bottom