BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Nani aliyethubutu akakutana na cha moto?
Hao Content Creator tu
Niffer kosa lake aloshtakiwa nalo halikuwa hilo linajulikana mbonaNiffer kwa nywiii nywii nywii
Niffer kosa lake aloshtakiwa nalo halikuwa hilo linajulikana mbona
Kama challenge ya nywi nywi hata mimi nilifanya na ni wengi tu content Creator maarufu wameifanyaKuuza mask ni kisingizio tu mkuu ndo maana wamemuachia
Kama challenge ya nywi nywi hata mimi nilifanya na ni wengi tu content Creator maarufu wameifanya
Kosa linalotambulika ni kuuza mask hayo mengine yenu nyie
Kwenye kufanya kosa la jinai hamna cha kujulikana Mkuu
Kwenye sheria hakuna wa mfano ukiivunja utashtakiwa tu Madam Numbisa hata muwe mia moja
Mask pia sio kosa la kumsotesha vile au kumpa kesi ya uhaini but at least ile inaweza ikaeleweka kwa wananchi kuliko ile ya nywi nywi nywi ambayo wengi wanadaiKosa la jinai ndo nashangaa ameachiwa kirahisi sana. Ukweli ni kwamba nywiii nywii nywiii iliamsha hasira wakampiga na kumbeba. Kwa mask hakutakiwa kuachiwa kirahisi namna ile
Kosa walilompa ni kutafuta justification tu lakini kosa alilokamatiwa and we all know it ni challenge ya nywinywinywi.Niffer kosa lake aloshtakiwa nalo halikuwa hilo linajulikana mbona
Gayizi wu a yuu....
Kwanini akamatwe yeye na challenge imefanywa na watu wengi sana tena kabla ya huyo niffer kufanyaKosa walilompa ni kutafuta justification tu lakini kosa alilokamatiwa and we all know it ni challenge ya nywinywinywi.
Influencer tik toker, wanaangalia nani ana impact kubwa na akikamatwa itawatisha wengi.Kwanini akamatwe yeye na challenge imefanywa na watu wengi sana tena kabla ya huyo niffer kufanya
Halafu kuna mbwa eti zinaimba sema usiogope semaaaaa! Hivi wanajua kama Nyerere yalimfika shingoni akarudisha mpira kwa golikipa?Eti katoa press ya kibabe
Dogo huwa unatumia nguvu nyingi sana kuitetea hii serikali kandamizi na dhalimu.Mask pia sio kosa la kumsotesha vile au kumpa kesi ya uhaini but at least ile inaweza ikaeleweka kwa wananchi kuliko ile ya nywi nywi nywi ambayo wengi wanadai
Nilishangaa sana kuna page moja maarufu sana ya habari kutoka nje ya Tanzania nayo niliona wamepost kuwa niffer amepewa kesi ya treason kwa kuwa alicheza challenge ya nywi nywi
Kuifuatilia vizuri ile page naona imefollow watu wachache sana hata 10 hawazidi akiwemo Maria Sarungi nikapigia mstari
Kunywa maji mkuu moyo ueleeDogo huwa unatumia nguvu nyingi sana kuitetea hii serikali kandamizi na dhalimu.
Kinachoskitisha umeanza bado mdogo sana kwenye mapambano ya kuutetea ushetani, kuubadilisha ukweli kuwa uongo na kutetea wauaji ukiwa na uso mkavu.
Kwa kuanza kwako mapema hivi, sipati picha ukifika umri wa Mwigulu(kama Mungu atakupa umri ule) utakuwaje, nahisi kuua mtu kwako kwa ajili tu ya kulinda system itakuwa ni jambo la kawaida.
Kila mtu anafahamu kilichomkamatisha Niffer ni ile video ya nywiii nywii nywiii na ilikuwa wammalize kimya kimya ndio maana hata hawakumuita kituoni, bali walimfuata kwenye mazingira ya kumteka...
...kilichomsaidia Niffer hao mapolisi wakashindwa kumuulia gizani ni zile kelele za uma sababu ya umaarufu wake, mashtaka waliompa sasa ni kituko eti sijui kazuia uchaguzi.
Mashtaka ya kipumbavu kabisa ambayo hayana mantiki yoyote, halafu wewe uko hapa kuwatetea hao mapolisi kana kwamba ni watu wanaofuata taratibu za kisheria kwenye majukumu yao wakati ni wahuni tu na ni mashetani wakubwa.