MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Kwa nini unaona waoga? Vita si mihemuko mzee.SADC ni waoga kinyama, hapo ilitakiwa ipigwe ligi mpaka M23 wasande
sasa itawafanya jamaa wajitanue zaidi
Propagandist wa M23 huyoHivi wewe ni msemaji wa M 23?
Sijui. Umeridhika na jibu?Hivi wewe ni msemaji wa M 23?
Kikao cha marais wa nchi za SADC, kimeamua kuondoa majeshi yote ya nchi hizo, kurahisisha upatikanaji wa suruhu la kudumu la amani nchini humo.
View attachment 3269216
Wakati huo, kisiwa cha Idjwi tayari kipo mikononi mwa M23, kwa maana ziwa Kivu, serikali ya DRC hainusi.
Au vya kina mamaππππ..vijana wetu warudi kufaidi vitumbua vya Mama.
Au vya kina mamaππππ
Kagame kawaburuza wote huko wamekimbiaKikao cha marais wa nchi za SADC, kimeamua kuondoa majeshi yote ya nchi hizo, kurahisisha upatikanaji wa suruhu la kudumu la amani nchini humo.
View attachment 3269216
Wakati huo, kisiwa cha Idjwi tayari kipo mikononi mwa M23, kwa maana ziwa Kivu, serikali ya DRC hainusi.