SAMIDRC Mission terminated

SAMIDRC Mission terminated

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Kikao cha marais wa nchi za SADC, kimeamua kuondoa majeshi yote ya nchi hizo, kurahisisha upatikanaji wa suruhu la kudumu la amani nchini humo.

1741872130502.png


Wakati huo, kisiwa cha Idjwi tayari kipo mikononi mwa M23, kwa maana ziwa Kivu, serikali ya DRC hainusi.
 
Kwa heri SADC mmepambana na jeshi kali likawapa somo ambalo haitakuwa rahisi kusahaurika vichwani mwenu. kichapo cha uhakika
 
Haya jamani viongozi mbali mbali si mmeona kombati za kisasa mpaka helment za m23 ? Na bullet proof za kisasa kabisa na vifaa vya mawasiliano walivyo navyo m23? TUBORESHE NA sisi
 
Back
Top Bottom