Sammata aipasua ngome ya Liverpool iliyomshinda Messi

Hongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili
Unaweza sema kimas'hara ila kipindi hiki kimekuwa na neema nyingi.

Ukiangalia rekodi za michezo zilizowekwa kipindi hichi ni nyingi mno. Taifa stars, Mwakinyo, Simba nk utaweza kuona mlolongo.
 
Vichwa by habari za michezo kesho utasikia"SAMATA AVUNJA MFUPA ULIOMSHINDA MESSI" wengine utasikia "KUMBE MESSI HAFUI DAFU KWA MBWANA SAMATA"😂😂
 
Yule kibopa na fowadi hatari kutoka Tanzania mbwana samata sasa anawindwa na timu kubwa duniani kote kwa uchache tuu ni real Madrid,barca na man city huenda akavunja rekodi ya neymar

kunako gazeti la BINGWA hapo kesho
😂😂😂😂😂
 
Lazima wamkumbuke maana katikisa nyavu mara mbili katika mechi mbili alizokutana na liver....japo la game ya kwanza lilikataliwa
 
Hongera JPM
Sikujua Samatta yupo kwenye pay roll ya Magufuli. Nilifikiri analipwa na timu yake. Hawa wachezaji wa Argentina, Uk, Ujerumani na wengineo kama wa Kenya akina manyama watasema nini?
 
Tuishukuru serikali kwa kuwezesha hilo kutokea
 
= goli

Midomoni kunatoka matamshi na nafahamu wengi lafdhi mama zao si za Kiswahili na kukosea kutamka kunavumilika kwa kiwango fulani, lakini nashangaa vidoleni mwenu kuna nini kinachowafanya mkosee "r" na "l"?

Au shule mlizosomea mlifundishwa hivyo?

Kama ni shule, nikiziita ni shule za kusomea ujinga nitakuwa nimekosea?
 
Hongera CCM chini ya mwenyekiti Rais Magufuli kwa kuwezesha goli hili kupatikana
 
Mwenyezi mungu amtie nguvu kijana huyu
 
Amefanya jambo kubwa na kama goli lake la mechi ya mwanzo lingekubaliwa angewafunga liva kwenye game zote mbil...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…