Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Hongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili
Kidumu chama cha Mapinduzi..kidumuu...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili
Unaweza sema kimas'hara ila kipindi hiki kimekuwa na neema nyingi.Hongera Serikal ya awamu ya tano kwa goli hili
Unaweza sema kimas'hara ila kila kipindi hiki kimekuwa na neema nyingi.
Ukiangalia rekodi za michezo zilizowekwa kipindi hichi ni nyingi mno. Taifa stars, Mwakinyo, Simba nk utaweza kuona mlolongo.
Sikujua Samatta yupo kwenye pay roll ya Magufuli. Nilifikiri analipwa na timu yake. Hawa wachezaji wa Argentina, Uk, Ujerumani na wengineo kama wa Kenya akina manyama watasema nini?Hongera JPM
= goliAmefunga gori uwanja mgumu wa Anfield hii ni record ambayo Messi Hajawai iweka na inawezekana Messi akastaafu bila kufunga gori uwanja wa nyumbani wa liverpool pamoja na kuwa kuja pale mara kibao.
Samatta anazidi kuonyesha kwamba ni mchezaji hatari kuwai kutokea kusini mwa jangwa la sahara
hahahauwanja wa amfried unapatikana wapi mzeiya?
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji23] atakuwa na elements za ccm huyo kukurupuka kwingi.uwanja wa amfried unapatikana wapi mzeiya?
Kidumu!Kidumu chama cha Mapinduzi..kidumuu...lol
Mwenyezi mungu amtie nguvu kijana huyuKatuwakilisha vyema kabisa na pasipo kuwepo na ule ufigisu figisu angekuwa amwaweka nje ndani hawa majogoo
Big up le capitainView attachment 1255085
43 min
Terrific run and header from the corner. The Tanzania centre-forward bullets it in at the near post, beating Alexander-Arnold and Milner comprehensively in the air. A minute earlier Salah had flashed a left-foot shot wide and conceded a corner by initially drowsing during a rapid counter-attack.
AmeenMwenyezi mungu amtie nguvu kijana huyu