Sure vyombo vya usalama vimekufa.wahuni wametamalaki kila sehemu.Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
Hapana mkuu, sometime muda hauongei kabisa au unachelewa.
Tatizo lako unachanganya taaluma ya habari na harakati UNAFELIUkisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
Au sometimes muda nao unasubiri uongeleshwe ?! 😳Hapana mkuu, sometime muda hauongei kabisa au unachelewa.
iTatizo lako unachanganya taaluma ya habari na harakati UNAFELI
Ni kweli na tiba ya adha hii ni marekebisho ya katiba au katiba mpya. Hakuna mabadiko yoyote yanayoweza kufanyika ndani ya katiba hii ambayo essentially inamfanya raisi kuwa Mungu wa ardhini ambae hahojiwi kwa lolote analoamua.Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
Ndivyo ilivyoUkisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
Badala yake wanatumiw silahaSure vyombo vya usalama vimekufa.wahuni wametamalaki kila sehemu.
Hoja kama hizi wana CCM hawataki kuzisilia kabisa maana wanajua Wasira anajua kila kitu.Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
Sahihi kabisa. Taasisi Imara ndio jawabu.Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
Vyombo vyote vimenajisiwa, havina maana yeyote.Bonge la point hapa. Vyombo visikie.