Sammy Awami: Vyombo vya kusimamia Serikali vikikosa nguvu, kikundi kidogo cha Watu kitafanya maamuzi kwa maslahi yake chenyewe

Sammy Awami: Vyombo vya kusimamia Serikali vikikosa nguvu, kikundi kidogo cha Watu kitafanya maamuzi kwa maslahi yake chenyewe

Nyie mnaodai eti Israel ni wabarikiwa na wateule, mbona majeshi ya Israel wamewaua Wayahudi wanaoishi Iran na kubomoa masinagogi yao huko Iran? Hebu tueleze
 
Ni dhahiri hujui hata Uandishi wa habari ni Mimi. Unadhani wanaoabudu viongozi wa CCM ndo waandishi wa Habari hawa wanaoandika negative yenye uhalisia unawaita Wanaharakati.
Tatizo lako unachanganya taaluma ya habari na harakati UNAFELI
i
 
Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
Ni kweli na tiba ya adha hii ni marekebisho ya katiba au katiba mpya. Hakuna mabadiko yoyote yanayoweza kufanyika ndani ya katiba hii ambayo essentially inamfanya raisi kuwa Mungu wa ardhini ambae hahojiwi kwa lolote analoamua.
 
Kwenye swala la Uimala wa vyombo vya usimamizi, napendekeza kuwepo na Muhimili wa nne wenye jukumu hilo mona kwa moja, hivyo basi katiba iliyopo kwenye www.katibampya.com kipo chombo hicho kinaitwa Baraza la usimamizi wa Taifa
 
Back
Top Bottom