Sampuli ya wachimbaji wachache waliofanya kufufu ya kuchezea noti ndio sababu ya kuwanyima ruzuku mamilioni ya Watanganyika wanaohangaika maporini?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Zunguka Tanzania nzima utakutana maelfu kwa mamilioni ya wanannchi wakichimba dhahabu kwenye hali duni kabisa. Hawana mitaji, vifaa vya kisasa na mazingira wanayofanyia kazi ni hovyo.

Leo hii kigezo cha Wachimbaji wachache ambao wanavijisenti vya kukodi helkopta inatangazwa kuwa sababu ya kutowapatia wachimbaji ruzuku.

Kama taifa tutafika?
 
Unataka serikali iache kujenga barabara na hospitali itoe pesa kWa wafanyabiashara?

Actually serikali inatakiwa kupitia upya kodi za madini

Kuruhusu wachimbaji wadogo ni nzuri and empowering…. Kuanza kudai ruzuku Tena kunaturudisha kulekule kwa kuacha wakubwa wafanye kazi yote
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 11
Samia anawekeza sehemu ambazo anaweza kuokota chochote au rafiki zake kufaidika...

Ndio maana yuko kwenye utalii, nishati, bandari n.k.

Zile dhihaka za jana zilitoka ndani kabisa ya moyo wake.
 
Wapi hawekezi

USSR
 
Wapi hawekezi

USSR
Hawekezi maeneo yote ambayo hafaidiki moja kwa moja mfano

1. Kwa wachimbaji wadogowadogo wa madini( na jana amewakebehi kwamba wanapesa sana kwahiyo wasitegemee serikalini)

2. Kwa wakulima, hapa amewekeza kwa wafanyabishara wa pembejeo
 
Unataka serikali iache kujenga barabara na hospitali itoe pesa kWa wafanyabiashara?

Actually serikali inatakiwa kupitia upya kodi za madini

Kuruhusu wachimbaji wadogo ni nzuri and empowering…. Kuanza kudai ruzuku Tena kunaturudisha kulekule kwa kuacha wakubwa wafanye kazi yote
Ila ni sahihi kununua magari ya kifahari na kulipana posho kubwa bungeni au kulipia goli la mama kwenye michezo.
 
Ni jambo la kawaida kabsa siku zote watu wachache ndo huaribia watu wengi

Waislam wako 1.2 bilion dunia nzima ila waislam magaidi ni kama 10 million lakin hao magaidi wachache wamesababisha waisal wote wanaonekana wa hovyo
Wachungaji wazuri dunian ni wengi sana ila wachungaji wachache kama kina mwamposa wamesababisha wachungaji wote waonekane ni wezi

So kwa upande wangu naweza sema raisi yuko sawa inaonekana kabsa hawa watu wa madini wanajiweza na kama wanajiweza bas hawaitaji msaada wa serikal so ni vema izo pesa zitumike kusaidia kundi jingne kama wakulima

Ujue adi serikal kufikia maamuzi hayo maana yake imefanya utafiti wake tena kwa muda mrefu na ndo maana wakaja na maamuzi hayo helkopta raisi kaitumia kama mfano ila uharisia unajulikana

Afu hao wachimbaji wadogo unao jaribu kuwatetea wengi wao ni wafanyakazi wa matajiri wa dhahabu, matajiri wakisikia sehemu dhahabu imeibuka huwatuma hao unao waita wachimbaji wadogo wakachimbe na wakipata dhahabu huenda na kuwauzia hao matajiri
 
So kwa upande wangu naweza sema raisi yuko sawa inaonekana kabsa hawa watu wa madini wanajiweza na kama wanajiweza bas hawaitaji msaada wa serikal so ni vema izo pesa zitumike kusaidia kundi jingne kama wakulima
Kuna wakati raisi alikuwa anatoa bilioni 100 kila mwezi sekta ya nishati...

Kwa kuhusianisha na hoja yako hapo juu elezea ni kivipi wafanyabishara wa mafuta walikua na haki ya ruzuku ila wachimbaji wadogo wakose haki hiyo( 10 marks)

NB: wafanyabishara wa mafuta ni mabilionea.
 
Zunguka Tanzania nzima utakutana maelfu kwa mamilioni ya wanannchi wakichimba dhahabu kwenye hali duni kabisa. Hawana mitaji, vifaa vya kisasa na mazingira wanayofanyia kazi ni hovyo.

Leo hii kigezo cha Wachimbaji wachache ambao wanavijisenti vya kukodi helkopta inatangazwa kuwa sababu ya kutowapatia wachimbaji ruzuku.

Kama taifa tutafika?
Mjane wa Marehemu shetani la Chato unaumia mwenyewe lakini wajikaza kufatilia kila anachokisema Samia japo humpendi
 
Back
Top Bottom