Unataka serikali iache kujenga barabara na hospitali itoe pesa kWa wafanyabiashara?Zunguka Tanzania nzima utakutana maelfu kwa mamilioni ya wanannchi wakichimba dhahabu kwenye hali duni kabisa. Hawana mitaji, vifaa vya kisasa na mazingira wanayofanyia kazi ni hovyo.
Leo hii kigezo cha Wachimbaji wachache ambao wanavijisenti vya kukodi helkopta inatangazwa kuwa sababu ya kutowapatia wachimbaji ruzuku.
Kama taifa tutafika?
Zunguka Tanzania nzima utakutana maelfu kwa mamilioni ya wanannchi wakichimba dhahabu kwenye hali duni kabisa. Hawana mitaji, vifaa vya kisasa na mazingira wanayofanyia kazi ni hovyo.
Leo hii kigezo cha Wachimbaji wachache ambao wanavijisenti vya kukodi helkopta inatangazwa kuwa sababu ya kutowapatia wachimbaji ruzuku.
Kama taifa tutafika?
Aisee masomo ya arts yafutweNi sahihi, kodi za Watanganyika haziwezi kutumika kijinga namna hiyo.
Mpelekee hili wazo huyo bibi yenu.Aisee masomo ya arts yafutwe
Bibi yangu ganiMpelekee hili wazo huyo bibi yenu.
Wapi hawekeziSamia anawekeza sehemu ambazo anaweza kuokota chochote au rafiki zake kufaidika...
Ndio maana yuko kwenye utalii, nishati, bandari n.k.
Zile dhihaka za jana zilitoka ndani kabisa ya moyo wake.
Hawekezi maeneo yote ambayo hafaidiki moja kwa moja mfanoWapi hawekezi
USSR
Ila ni sahihi kununua magari ya kifahari na kulipana posho kubwa bungeni au kulipia goli la mama kwenye michezo.Unataka serikali iache kujenga barabara na hospitali itoe pesa kWa wafanyabiashara?
Actually serikali inatakiwa kupitia upya kodi za madini
Kuruhusu wachimbaji wadogo ni nzuri and empowering…. Kuanza kudai ruzuku Tena kunaturudisha kulekule kwa kuacha wakubwa wafanye kazi yote
Kuna wakati raisi alikuwa anatoa bilioni 100 kila mwezi sekta ya nishati...So kwa upande wangu naweza sema raisi yuko sawa inaonekana kabsa hawa watu wa madini wanajiweza na kama wanajiweza bas hawaitaji msaada wa serikal so ni vema izo pesa zitumike kusaidia kundi jingne kama wakulima
Kwa basha lako Abdul unayemkatiaga mauno.Wapi hawekezi
USSR
Mjane wa Marehemu shetani la Chato unaumia mwenyewe lakini wajikaza kufatilia kila anachokisema Samia japo humpendiZunguka Tanzania nzima utakutana maelfu kwa mamilioni ya wanannchi wakichimba dhahabu kwenye hali duni kabisa. Hawana mitaji, vifaa vya kisasa na mazingira wanayofanyia kazi ni hovyo.
Leo hii kigezo cha Wachimbaji wachache ambao wanavijisenti vya kukodi helkopta inatangazwa kuwa sababu ya kutowapatia wachimbaji ruzuku.
Kama taifa tutafika?
Dogo chenga sana ;