Samsung 12 ni kiboko

Duu vitu vingine bana, sasa hapo mtu unapanic nini,
Kusema ukweli? Kwani nimeponda simu?
Umefeli kujua MATERIAL THINGS zina Class yake kulingana na Bei kwa uswahilini kama huku mtaani mimi nina Sumsung J2 PRIME ila wanaita simu kali lakini simu iliyopitwa na wakati, Sowote tunazijua HIGH END PHONES ila uchumi
 
Oky twende taratibu,
A12 unahisi ipo class gani mkuu?
 
Naiuza kama una laki 4 ina crack kioo sehem ndogo samsung A50
 
Tsh 400,000/= kwa usawa huu??!!--- ni mimi na "Take no" kwa kwenda mbele, sintamuacha kipenzi Tecno.😁
 
Kiukweli kwa laki 4 tu kupata simu nzuri hivi ni kuonesha Samsung wapo vyema sana with low cost unapata

DISPLAY
TypePLS IPS
Size6.5 inches, 102.0 cm2 (~82.1% screen-to-body ratio)
Resolution720 x 1600 pixels,

ChipsetMediatek MT6765 Helio P35 (12nm)
CPUOcta-core (4x2.35 GHz Cortex-A53 & 4x1.8 GHz Cortex-A53)

Mkuu mbona hiyo simu ni ya kawaida sana yani... Ina sifa za chini
 
Tena very low mkuu hata hiyo laki 4 naiona kubwa kutoka kwenye hii device
Bora umesema mkuu,
Mimi wana ni attack eti ni tambo,
Nakati inawezekana natumia simu ndogo zaidi ya hio, ila ukweli lazima usemwe
Hii simu ni ya kawaida kabisaa, nahisi kwenye series yake ni ya 5 kutoka mwisho.
 
Bora umesema mkuu,
Mimi wana ni attack eti ni tambo,
Hii simu ni ya kawaida kabisaa, nahisi kwenye series yake ni ya 5 kutoka mwisho.
Ya kawaida hayo mkuu... japo ukweli ndio huo, hiyo simu laki 4 ni kubwa sana... redmi ya laki 4 iko njema kuliko hiyo a12 mbaya zaidi hawazilishi kwenye viwanda vyao πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…