Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,569
Umefeli kujua MATERIAL THINGS zina Class yake kulingana na Bei kwa uswahilini kama huku mtaani mimi nina Sumsung J2 PRIME ila wanaita simu kali lakini simu iliyopitwa na wakati, Sowote tunazijua HIGH END PHONES ila uchumiDuu vitu vingine bana, sasa hapo mtu unapanic nini,
Kusema ukweli? Kwani nimeponda simu?