Samsung 12 ni kiboko

Samsung 12 ni kiboko

Oky twende taratibu,
A12 unahisi ipo class gani mkuu?
Kwa Angle gani unazungumzia
*kwa mada iliyopo au kwa uchumi kama wangu ni High Class

*Kwa soko la simu Duniani ni takataka tu ukilinganisha na ma Giant

Kwahiyo elewa suala ni nini Rikiboy sizani kama hazijui NOTE 10 ULTRA ma S9 nk suala kulingana na uchumi hapo ndipo unapokwama....yaani kama tunazungumzia BREVIS ni gari nzuri kwa bei yake wewe uje useme sio kweli ukaleta ma LAND ROVER, JAGUAR, VELAR
 
Duuu, kama hio ndio hoja yako basi mzee...
BTW HAKUNA Note 10 Ultra.
 
pata redmi 9t kwa hela hiyo, screen na SoC ya A12 ni mbovu tu
 
Note 10 kalio ipo
Ndio maana nikasema yaishe,
Naona haupo katika kueleweshana,
Lugha gani hio kwenye hoja za kuelimishana?.
Yaani kama mtu kabisa unakuja na hoja ya kua,

Simu moja akimiliki mwenye kipato cha chini inaitwa high class, akimiliki mwenye kipato cha juu simu hio hio inashuka thamani inakua low class(takataka)...
Hii itakua ni definition mpya ya Thamani ya kitu....

Halafu kitu kingine, hii mada haihusiani na uchumi wa mtu, ni sifa/ubora wa bidhaa,
SIO LAZIMA Uchumi wa mtu ukakupa picha ya mali anayomiliki,

Wapo Wenye uwezo mkubwa wa kununua S21 Ultra/i12 Pro Max za mpaka 3M huko, ila akanunua ya 400k, na wengine uwezo wao ni wa hio 400k lakini akakusanya kibubu akanunua ya 2-3M, hili wengi tunalijua..

Hapo huwezi pata picha ya kipato cha mtu kwa kuangalia Simu,
It's all about preference and choice,
Mwingine kwake ni furaha tuu kumiliki simu ya thamani, mwingine yoyote ilimradi inayokizi mahitaji yake.

Mwisho naomba tuu nikuulize thamani HALISI ya kitu ipo kwenye nini?
Ni mtu au kitu chenyewe??
 
😂😂😂kuna watu watakimbia uzi umu,
Naona wengine washatimua, wengine wanaruka comments wanatafuta nyepesi za kujibu,
Wengine washapanic wanaanza lugha za baa,
Wengine wanaandika vitu kama wamelewa...

Wameingia Pabaya, bila shaka wanamjua reyzzap kwenye comments za utani, ila upande huu hawajawahi kutana naye..
Ninachompendea hana kauli mbaya, utakuja na panic na matusi atakuelewesha, mtaelewana au ukiwa mbishi utaondoka umeufyata.. ila ukweli unao.

Hapa alinisaidia sanaa, na mpaka leo sijalizwa tena simu kwa comment yake hii.

Kama kweli upo kujifunza pitia hio comment yake hapo, tena kumbuka sio uzi... Ni hio comment.
Utapata mazuri hutalizwa simu kirahisi.

Unapoelekezwa kua mpole, kukubali kujifunza sio kosa,
Hata wewe kama una ujuzi wa kutengeneza miemvuli lete humu hatutakupinga😂😂😂.
 
Ndio maana nikasema yaishe,
Naona haupo katika kueleweshana,
Lugha gani hio kwenye hoja za kuelimishana?.
Yaani kama mtu kabisa unakuja na hoja ya kua,

Simu moja akimiliki mwenye kipato cha chini inaitwa high class, akimiliki mwenye kipato cha juu simu hio hio inashuka thamani inakua low class(takataka)...
Hii itakua ni definition mpya ya Thamani ya kitu....

Halafu kitu kingine, hii mada haihusiani na uchumi wa mtu, ni sifa/ubora wa bidhaa,
SIO LAZIMA Uchumi wa mtu ukakupa picha ya mali anayomiliki,

Wapo Wenye uwezo mkubwa wa kununua S21 Ultra/i12 Pro Max za mpaka 3M huko, ila akanunua ya 400k, na wengine uwezo wao ni wa hio 400k lakini akakusanya kibubu akanunua ya 2-3M, hili wengi tunalijua..

Hapo huwezi pata picha ya kipato cha mtu kwa kuangalia Simu,
It's all about preference and choice,
Mwingine kwake ni furaha tuu kumiliki simu ya thamani, mwingine yoyote ilimradi inayokizi mahitaji yake.

Mwisho naomba tuu nikuulize thamani HALISI ya kitu ipo kwenye nini?
Ni mtu au kitu chenyewe??
Wewe jamaa unajua unazijua simu ila kwenye LOGIC umefeli vibaya sana, LOGIC kwako ni somo gumu na sidhani kama ushawai lisoma kwa namna hii utanipa shida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu watakimbia uzi umu,
Naona wengine washatimua, wengine wanaruka comments wanatafuta nyepesi za kujibu,
Wengine washapanic wanaanza lugha za baa,
Wengine wanaandika vitu kama wamelewa...

Wameingia Pabaya, bila shaka wanamjua reyzzap kwenye comments za utani, ila upande huu hawajawahi kutana naye..
Ninachompendea hana kauli mbaya, utakuja na panic na matusi atakuelewesha, mtaelewana au ukiwa mbishi utaondoka umeufyata.. ila ukweli unao.

Hapa alinisaidia sanaa, na mpaka leo sijalizwa tena simu kwa comment yake hii.

Unapoelekezwa kua mpole, kukubali kujifunza sio kosa,
Hata wewe kama una ujuzi wa kutengeneza miemvuli lete humu hatutakupinga[emoji23][emoji23][emoji23].
Ahsante kwa hoja yako nzuri na ushuhuda.
 
Wewe jamaa unajua unazijua simu ila kwenye LOGIC umefeli vibaya sana, LOGIC kwako ni somo gumu na sidhani kama ushawai lisoma kwa namna hii utanipa shida.
Sawa nakubali Logic nimefeli,
Nipe Logic mkuu, thamani ya kitu ipo wapi??? Kila mtu aone humu.

Sina sehemu nimeandika nazijua simu mkuu, ninandika kidogo ninachojua ambacho ni nukta katika ujuzi wa simu.

Twende taratibuuuu....
 
Sawa nakubali,
Nipe Logic mkuu, thamani ya kitu ipo wapi, Kila mtu aone humu.
Unachoshindwa kuelewa wewe mtoa mada ana LOGIC behind ya kuisifia simu aliyoisifia na kuna post pale nimekuchambulia vizuri LOGIC ni nini wewe ukaacha kumakinika uka attack mfano mmoja nilioutoa wa simu niliokosea jina ndio na mimi nikaona kumbe hatupo kuelekezana bali upuuzi nikakuletea upuuzi ndio ukarudi kwenye reli na kuandika hoja zenye akili.....ila Still Logic kwako somo gumu vibaya sana uki TRACE reply zangu kwa mtu mwenye ubongo timamu anaelea wewe unaelewa simu na si Logic na hutaki kujifunza.

Ndipo nikakwambia RIKIBOY amesefia Camera ya hiyo A 12 kuwa kali kwani unadhani yeye ni upuuzi kihasi gani kuto kujua I PHONE 12 ina Camera kali ×1000 kuzidi simu aliyosifia inahitaji uwe Deep kwenye masuala ya simu kulijua hillo ila logic kwanini aseme kali.

Jufenze Logic bro utapata shida sana.

Ukikumbuka POST yangu ya kwanza kabisa nimekuuliza Simu gani ya beiinayofanana na iliyotaja haina udhaifu ulioutaja au Bora hapo ndipo ningeona upo BRIGHT nisinge pinga ila akili yako inaipinga hii simu na kuwaza ma FLAG SHIP ya mamilioni.
 
😂😂😂Mkuu kwanza niweke wazi hili, sija na sitowahi attack mtu,
Wewe umesema Note 10 Ultra, nikakuambia hakuna Simu inaitwa Note 10 ulta,
UKANIJUBU: NOTE 10 KALIO IPO....
hapo nani ka mu attack mwenzie????

Kwenye comments zangu zote hapo juu ni quote sehemu nimeandika upuuzi wadau waone humu....

Mimi na base kwenye keuleweshana hoja, wewe ushanitajia Kalio, ushaniambia sina logic yote nimekubali...

Narudia swali ambalo mara ya tatu hii hujalijibu...
Thamani ya kitu Ipo wapi??
Tujikite kwenye mada Mr Logic.
 
Thamani ya kitu kwangu au Sokoni anaamanisha wapi ??
 
Ukikumbuka POST yangu ya kwanza kabisa nimekuuliza Simu gani ya beiinayofanana na iliyotaja haina udhaifu ulioutaja au Bora hapo ndipo ningeona upo BRIGHT nisinge pinga ila akili yako inaipinga hii simu na kuwaza ma FLAG SHIP ya mamilioni.
Good,
Ulinijibu comment yangu baada ya swali lako?
Je pale nilitaja sababu za simu kukaa na charge au madhaifu??
Mada inazungumzia nini?
Je ni Madhaifu ya simu???

Na katika comments zangu zote kuna sehemu nimetaja camera??
Mtoa post kasifia Camera, storage na battery...
Kuna sehemu nimepinga?
 
Thamani ya kitu kwangu au Sokoni anaamanisha wapi ??
Mkuu kwani mfano ukiulizwa hio simu ina thamani gani utajibu kutokana na nini?
Si bei ya sokoni....? Wewe hata uipe thamani yako ila ya sokoni ndio halisi,
 
Ok naomba nitajie simu yenye bei zaidi Duniani...na hiyo ndio yenye thamani.
 
Kuhusu Betri

Oppo ni [emoji91][emoji91]
Nipo ni kitu old cha Oppo A3s chaji ni fire sana
Screenshot_2021-06-02-07-48-19-84.jpg
 
Back
Top Bottom