Samsung 12 ni kiboko

Samsung 12 ni kiboko

Sasa hiyo a12 ndio haina tofaut na tekno... redmi na xiaomi kwa hiyo bei ya a12 unapata simu kali sana
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 daah mkuu ebu tafuta kazi ya kufanyaaaa….
 
ndo hizo redmit sio xiaomi sijui… yani hizi hakuna tofauti na tekno [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Xiaomi haiwezi lingana na tecno ,

Sijaona tecno yenye amoled display , let alone Snapdragon
Ir blaster hata kwenye hizo samsung ipo kwenye very expensive models.xiaomi ipo hadi kwenye low ends

Lakini sio xiaomi tu kuna simu nyingi zina outsmart brands kubwa , na bei ni poa ,mwaka juzi nilnunua realme x kwa around 284000 shilings ,
With it came
Gorrilla 5, 11nm Snapdragon soc , motorized front camera , underdisplay fingerprint scanner , plus type c usb port.
 
Xiaomi haiwezi lingana na tecno ,

Sijaona tecno yenye amoled display , let alone Snapdragon
Ir blaster hata kwenye hizo samsung ipo kwenye very expensive models.xiaomi ipo hadi kwenye low ends

Lakini sio xiaomi tu kuna simu nyingi zina outsmart brands kubwa , na bei ni poa ,mwaka juzi nilnunua realme x kwa around 284000 shilings ,
With it came
Gorrilla 5, 11nm Snapdragon soc , m otorized front camera , underdisplay fingerprint scanner , plus type c usb port.
Hii mi Xiaomi nayo imezidi ubonge kama inakula Junk Food mimi simu hata iwe na tech gani likiwa Bonge tu silitaki
 
Kwani kuna watu wanakaa nyumba ambazo hazina umeme? Au mazingira mnayoishi umeme unakatika sana.?

Au mnatumia simu 24/7

Kununua simu na kumiliki simu kwa kigezo cha kukaa na chaji........sikumbuki niliwahi lini
 
Kufarakana kivipi? S9 series ni simu ambazo zimepata malalamiko mengi ukilinganisha na s8 series.

Binafsi namshauri mtu akitoka s8 series arukie s10 series.
S8 my short dream phone inshaallah mwashoni mwa mwaka nitamiliki hii
 
Back
Top Bottom