Samsung 12 ni kiboko

Samsung 12 ni kiboko

Bila kujiuliza, Achukua A21s.
Ana advantage kuanzia bei, display quality, punch hole camera, processor,
Screen to body ratio, n.k
Dukani beigani na mkononi

Je display yake ni Fullsize
 
Nimenunua samsung galaxy M51 battery yake ni 7000mAh ni sawa au nimeingizwa cha kike
 
Redmi 9
Screenshot_2021-06-03-08-16-47-265_com.miui.securitycenter.jpg
 
Dukani 380k,
Ni full size kabisaa, maana ni Punch hole camera.
Hii ngoja niandike kwenye Notea Board ulivyoweka Details pale na bei yake inavutia

Mkuu dukani wanaweza kukupunguzia kufika 350K
 
Hii ngoja niandike kwenye Notea Board ulivyoweka Details pale na bei yake inavutia

Mkuu dukani wanaweza kukupunguzia kufika 350K
Inaweza kushuka hasa kulingana na storage na ram
Maana ram inacheza kati ya 2GB-6GB
Internal storage kati ya 32GB-128GB.
Hio ndio inaamua bei kupanda na kushuka.
 
Inaweza kushuka hasa kulingana na storage na ram
Maana ram inacheza kati ya 2GB-6GB
Internal storage kati ya 32GB-128GB.
Hio ndio inaamua bei kupanda na kushuka.
Haha 2GB na 32GB storage inanifaa
 
Simu ni I phone tu asikudanganye mtu nyingine zote photocopy believe me
 
Back
Top Bottom