Pitia hiyo thread, hizo ni simu za kampuni ya Xiaomi, Poco & RedmiWale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja
Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya! Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi. BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri...www.jamiiforums.com
Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
Yes, uko sahihi MaalimPOCO mwanzo zilikuwa ziko manufactured na Xiaomi ilikuwa kama sub brand though siku zilivyoenda nilisikia poco inasimama kama independent brand sema simu zake nzuri na bei zake cheap kwa hiyo Xiamoni na Poco kama ndg fulani hivi kuweka short
450k nenda kkoo kachukue Xiaomi Redmi Note 9 au chini ya hapo kidogo unapata Redmi Note 8 kma hutaki mambo ya kuagiza Aliexpress. Zote hzo ni simu bora zaidi kuliko hzo A12 na A02s
Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.
Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.
Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.
Badala ya Note 10 pro Angalia Poco X3 pro, nayo ni nzuri same price point.Mkuu nimechungulia Redmi Note 10 na Note 10 Pro zako vizuri sana chief...!
chief hebu tuelekeze hio poco kwa undan wake mana naona zinaongelewa snBadala ya Note 10 pro Angalia Poco X3 pro, nayo ni nzuri same price point.
kaka hiv kwa kenya hakuna app ya kuaminika kweli? Mana naona wadau wengi wanahitaji vitu kenya lkn naona kama bado wadau hatujapata msaada wa maana,hiv kama jukwaa suala la kenya limetushinda kwwli?et CHIEF MKWAWAKwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.
Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.
Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.
Niko addicted na brand ya samsung mkuu. Kwa bajeti hii ya 300 mpaka 450 samsung gani inafaa?Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.
Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.
Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.
Kuna A21s na hio A12 kwa muono wangu mimi not worth it, unless kama huna haraka A22 haijatoka ila naamini muda wowote itatoka.Niko addicted na brand ya samsung mkuu. Kwa bajeti hii ya 300 mpaka 450 samsung gani inafaa?
Kwahyo mkuu unashauri kati ya A21s na A12 nnaweza chukua moja wapo?Kuna A21s na hio A12 kwa muono wangu mimi not worth it, unless kama huna haraka A22 haijatoka ila naamini muda wowote itatoka.
A20 ilikuwa simu nzuri sana, A21s wakazingua hope A22 watarekebisha vitu.
Kuna leaks za A22 5G sijajua kama itakuwa hio hio ama watatoa version ya 4g pia.
Chukua A21s utaenjoy sana ndo mimi ninayotumia mzee ni simu iko poa sana na ina uwezo mkubwa inakaa na chaji sana asububi mpaka jion data iko on ram 5 Gp hard disk 32Gb camera mpxl48 nyuma mbele 28 mzee simu hii ute joy sana iko poa just take A21s mzes utanirejeshea mrejeshoKwahyo mkuu unashauri kati ya A21s na A12 nnaweza chukua moja wapo?
Poco ni kampuni ya Xiaomi,chief hebu tuelekeze hio poco kwa undan wake mana naona zinaongelewa sn
Kama huna matumizi makubwa sio mbaya, ila kama unaweza subiri A22 ni vyema usubirie.Kwahyo mkuu unashauri kati ya A21s na A12 nnaweza chukua moja wapo?
Avechi walikuwa wanaleta wameacha kipindi cha Corona, wasumbueni mara kwa mara kuwauliza lini watarudisha huduma. Wakiona demand kubwa watarudisha huduma.kaka hiv kwa kenya hakuna app ya kuaminika kweli? Mana naona wadau wengi wanahitaji vitu kenya lkn naona kama bado wadau hatujapata msaada wa maana,hiv kama jukwaa suala la kenya limetushinda kwwli?et CHIEF MKWAWA
poa poa chiefAvechi walikuwa wanaleta wameacha kipindi cha Corona, wasumbueni mara kwa mara kuwauliza lini watarudisha huduma. Wakiona demand kubwa watarudisha huduma.
Kwa nni usinunue tu A21s maana bei zina endana na iyo A12?Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k