Samsung A 02S Vs samsung A 12 Ipi ninunue?

Pitia hiyo thread, hizo ni simu za kampuni ya Xiaomi, Poco & Redmi

Ngoja nimpigie kiongozi. Thanks.
 
Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.

Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.

Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.
 
POCO mwanzo zilikuwa ziko manufactured na Xiaomi ilikuwa kama sub brand though siku zilivyoenda nilisikia poco inasimama kama independent brand sema simu zake nzuri na bei zake cheap kwa hiyo Xiamoni na Poco kama ndg fulani hivi kuweka short
Yes, uko sahihi Maalim
 
450k nenda kkoo kachukue Xiaomi Redmi Note 9 au chini ya hapo kidogo unapata Redmi Note 8 kma hutaki mambo ya kuagiza Aliexpress. Zote hzo ni simu bora zaidi kuliko hzo A12 na A02s

Screenshot_20210428-201830.png
 
Chukua A12 kwanza ni brand mpya sokoni yaan zimeingia sokoni NOV 2020. Imara, inakaa na chaji nk.
 
Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.

Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.

Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.

Mkuu nimechungulia Redmi Note 10 na Note 10 Pro zako vizuri sana chief...!
 
Nje kidogo ya mada mkuu jipige uchukue A 51/71
Utafurahia
 
Kwa around 300k mpaka 400k chukua Xiaomi redmi 9T hapo kenya kama Una mtu muagizie. Overall ndio simu nzuri zaidi kwa hii budget.

Kama budget inaongezeka kidogo 380k mpaka 450k xiaomi redmi note 10 ni nzuri zaidi.

Kuhusu A02 hii simu bei yake ni chini ya 300k, recommended price 250k kushuka, kama wadau walivyo shauri huko juu soc yake snapdragon 450 inakaa na chaji sana na haina nguvu.
kaka hiv kwa kenya hakuna app ya kuaminika kweli? Mana naona wadau wengi wanahitaji vitu kenya lkn naona kama bado wadau hatujapata msaada wa maana,hiv kama jukwaa suala la kenya limetushinda kwwli?et CHIEF MKWAWA
 
Niko addicted na brand ya samsung mkuu. Kwa bajeti hii ya 300 mpaka 450 samsung gani inafaa?
 
Kuna A21s na hio A12 kwa muono wangu mimi not worth it, unless kama huna haraka A22 haijatoka ila naamini muda wowote itatoka.

A20 ilikuwa simu nzuri sana, A21s wakazingua hope A22 watarekebisha vitu.

Kuna leaks za A22 5G sijajua kama itakuwa hio hio ama watatoa version ya 4g pia.
 
Kwahyo mkuu unashauri kati ya A21s na A12 nnaweza chukua moja wapo?
 
Chukua A21s utaenjoy sana ndo mimi ninayotumia mzee ni simu iko poa sana na ina uwezo mkubwa inakaa na chaji sana asububi mpaka jion data iko on ram 5 Gp hard disk 32Gb camera mpxl48 nyuma mbele 28 mzee simu hii ute joy sana iko poa just take A21s mzes utanirejeshea mrejesho
 
chief hebu tuelekeze hio poco kwa undan wake mana naona zinaongelewa sn
Poco ni kampuni ya Xiaomi,

Kuna kampuni inaitwa BBK ipo China ina tengeneza simu za Oppo, Vivo na Oneplus, kampuni hii simu zao si za bei rahisi sana na Xiaomi masoko ambayo yupo most of time anawakimbiza.

Ili kukabiliana na Xiaomi hizo brand wakatoa sub brand zao, mfano Oppo Akatoa realme na Vivo Akatoa IQoo, hizi subbrand zikawa zinauza simu bei rahisi sana na kiasi kikubwa zikafanikiwa kumega soko la Xiaomi kwenye masoko kama India na China.

Kukabiliana nao na Xiaomi ikabidi na yeye atoe sub brand zake I Katoka hii poco na nyengine inaitwa Blackshark, zipo tetesi pia Redmi itakuwa separate.

Poco yenyewe ilianza 2018 na poco F1, wakatoa simu ya high-end kwa around $300 na mpaka leo ni hivyo wanatoa simu za specs kubwa kwa bei nafuu, mfano poco X3 pro ina snapdragon 860 kwa $250 tu, hivyo imekuwa favorite brand kwa wanaopenda simu zenye perfomance kubwa kama vijana wanao cheza games, kirun apps nzito kama za ku edit picha na video, multitasking kubwa etc.
 
kaka hiv kwa kenya hakuna app ya kuaminika kweli? Mana naona wadau wengi wanahitaji vitu kenya lkn naona kama bado wadau hatujapata msaada wa maana,hiv kama jukwaa suala la kenya limetushinda kwwli?et CHIEF MKWAWA
Avechi walikuwa wanaleta wameacha kipindi cha Corona, wasumbueni mara kwa mara kuwauliza lini watarudisha huduma. Wakiona demand kubwa watarudisha huduma.
 
Ninayo hiyo simu A02s inakaa sana na chaji lakini kwa uzuri wa Display
Haifikii uzuri wa simu niliyo kuwa nayo mwanzo galaxy s7edge
A02s Specification
Ram 3
Rom 32
Chip. snapdragon 450
Battery 5000
Display 6.5 pls ips 720 kwa 1600
Camera back 13.2.2
Camera front 5.0
Bei ni 290,000
Finger print no
Face unlock yes

A12 specification
Ram 4
Rom 64
Chip. midiatek helio p35
Battery 5000
Display 6.5 pls ips 720 kwa 1600
Camera back 48.5.2.2
Camera front 8.0
Bei 420,000
Finger print yes
Face unlock yes

Kiufupi simu hizi hazina maajabu kivilee hata vioo vyake havina protection ile ya gorilla glass kama yangu iliniponyoka mkononi urefu wa kama cm 70 kufika chini crak kama zote nanilikua nimuiwekea glass protector
 
Salaam wadau, nataka chukua simu kati ya hizo mnili, ipi inafaa kwa matumizi ya kawaida? Au ni simu gani nyingine nichukue kwa bajeti inayoendana na hizo yaani 300-450k
Kwa nni usinunue tu A21s maana bei zina endana na iyo A12?
 
Back
Top Bottom