Phone4Sale Samsung A12 inauzwa

Phone4Sale Samsung A12 inauzwa

Mkuu kama mtu yeyote atakuwa serious basi atanishawishi sio chini ya 300k otherwise siwezi kuiuza manake nauza ili nibadilishe simu nyingine tu sio kwamba nina haraka hapana. Simu bado mpya hata ukiiona nikakwambia imetoka leo dukani unaweza kuamini lakini ina miezi miwili.
 
Back
Top Bottom