Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii simu nzuri sana! Ni.eshaachaga kutembea na chaja.Aliewahi kutumia Samsung a15 au anaeijua utendaji kazi wake anipe muongozo nataka niinunue, masuala ya camera siangalii sana Mimi naangalia speed na isiwe inaganda au kupata moto
Simu inaonekana ni toleo la mwaka Jana 2023 mwezi WA 11
Ninyi ndo ambao bado mnaamini katika brand wakati tuko nyakati tofauti kabisa...Note 13 pro, Mzee Samsung ikasome, Kwanza nmeshangaa ina speaker 2 za mziki juu na chini, iko faster Sana sikujua
BeiNinyi ndo ambao bado mnaamini katika brand wakati tuko nyakati tofauti kabisa...
Mimi natumia Xiaomi 11T Pro ya mwaka 2021, ila moto wake ni balaa... Na inapata updates kama kawaidaa.... Hapo nipo natumia natumia Android 14 yangu saaafiii...
Kweli kwenye mambo ya brand z Zamani tushapita, Moto wa Xiaomi nauona sio poaNinyi ndo ambao bado mnaamini katika brand wakati tuko nyakati tofauti kabisa...
Mimi natumia Xiaomi 11T Pro ya mwaka 2021, ila moto wake ni balaa... Na inapata updates kama kawaidaa.... Hapo nipo natumia natumia Android 14 yangu saaafiii...
Hiyo 11t ulinunua shngap mkuuNinyi ndo ambao bado mnaamini katika brand wakati tuko nyakati tofauti kabisa...
Mimi natumia Xiaomi 11T Pro ya mwaka 2021, ila moto wake ni balaa... Na inapata updates kama kawaidaa.... Hapo nipo natumia natumia Android 14 yangu saaafiii...
Nilinunua 900kHiyo 11t ulinunua shngap mkuu
Inaonekana ni Moto Sana, hivi kuacha Xiaomi kampuni gan nyingne wanaweka speaker juu na chiniNilinunua 900k
Simu yoyote yenye sterio effect means, ina speaker 2, wanaita sterio speakers, na mara nyingi ni Pembeni kwa pembeni(kulia kushoto) au Juu na chini,Inaonekana ni Moto Sana, hivi kuacha Xiaomi kampuni gan nyingne wanaweka speaker juu na chini
| Loudspeaker | Yes, with stereo speaker |
Xiaomi ipi hiyo mkuu?MREJESHO:
Nmenunua Xiaomi, aisee kumbe hizi simu ni nzuri hivi??? Qualcomm Snapdragon hapa Samsung wajipange
Karibia kila kampuni mkuu.Inaonekana ni Moto Sana, hivi kuacha Xiaomi kampuni gan nyingne wanaweka speaker juu na chini
Kiukwel inanifurahishaKaribia kila kampuni mkuu.
Speaker zaidi ya Moja kwenye simu zinaitwa stereo speakers. Sio tu Xiaomi, hata Samsung, Oppo, Vivo, Realme, Google Pixel, iQOO, One Plus, Nothing phone, Tecno, Infinix nk wanazo simu nyingi tu zenye stereo speakers
Kuna nyingine ni hybrid, yani unakuta ina speaker moja chini na ya pili inakuwa ile ile speaker ya kuongea na simu inayokaa juu kabisa ya display. Zote hizo ni stereo speakers. In fact Redmi hata za laki 3 zipo zenye stereo speakers kwa hiyo usishangae sana mkuu.
Lastly, hongera kwa kupata simu inayokufurahisha. Redmi Note 13 Pro ni simu nzuri sana
Asante Sana mkuu kwa uchambuzi mujaraabSimu yoyote yenye sterio effect means, ina speaker 2, wanaita sterio speakers, na mara nyingi ni Pembeni kwa pembeni(kulia kushoto) au Juu na chini,
Kadiri speaker zinavyokua mbali ndio utaweza kusikia sterio effect vizuri, ndio maana ya juu na chini ndio opt nzuri,
Kwahio kujua unaweza ukaingia GSM arena nenda kwenye SOUND
Loudspeaker Yes, with stereo speaker
Ukiona hivyo tafta location yake kwenye simu yako, sikiliza mziki, ziba moja nyingine utaisikia..
Zinatofautiana ubora..
Mfano ya hio Xiaomi iko rated kama
Loudspeaker-26.0 LUFS (Very good)
NOTE : Namba ndogo ndio Bora zaidi.
Redmi note 13 ProXiaomi ipi hiyo mkuu?