Samsung A15 ipo vipi kiutendaji?

Samsung A15 ipo vipi kiutendaji?

Aliewahi kutumia Samsung a15 au anaeijua utendaji kazi wake anipe muongozo nataka niinunue, masuala ya camera siangalii sana Mimi naangalia speed na isiwe inaganda au kupata moto

Simu inaonekana ni toleo la mwaka Jana 2023 mwezi WA 11
Hii simu nzuri sana! Ni.eshaachaga kutembea na chaja.
Ikishajaa ni zaidi ya 24 hour. Mimi nimeweka ichaji hadi 85% lakini inakaa mpaka.

Hata issue ya kuganda au kupata moto haipo kabisa
 
Note 13 pro, Mzee Samsung ikasome, Kwanza nmeshangaa ina speaker 2 za mziki juu na chini, iko faster Sana sikujua
Ninyi ndo ambao bado mnaamini katika brand wakati tuko nyakati tofauti kabisa...

Mimi natumia Xiaomi 11T Pro ya mwaka 2021, ila moto wake ni balaa... Na inapata updates kama kawaidaa.... Hapo nipo natumia natumia Android 14 yangu saaafiii...
 
Kweli kwenye mambo ya brand z Zamani tushapita, Moto wa Xiaomi nauona sio poa
 
Inaonekana ni Moto Sana, hivi kuacha Xiaomi kampuni gan nyingne wanaweka speaker juu na chini
Simu yoyote yenye sterio effect means, ina speaker 2, wanaita sterio speakers, na mara nyingi ni Pembeni kwa pembeni(kulia kushoto) au Juu na chini,

Kadiri speaker zinavyokua mbali ndio utaweza kusikia sterio effect vizuri, ndio maana ya juu na chini ndio opt nzuri,
Kwahio kujua unaweza ukaingia GSM arena nenda kwenye SOUND
LoudspeakerYes, with stereo speaker

Ukiona hivyo tafta location yake kwenye simu yako, sikiliza mziki, ziba moja nyingine utaisikia..

Zinatofautiana ubora..
Mfano ya hio Xiaomi iko rated kama

Loudspeaker-26.0 LUFS (Very good)

NOTE : Namba ndogo ndio Bora zaidi.
 
Karibia kila kampuni mkuu.
Speaker zaidi ya Moja kwenye simu zinaitwa stereo speakers. Sio tu Xiaomi, hata Samsung, Oppo, Vivo, Realme, Google Pixel, iQOO, One Plus, Nothing phone, Tecno, Infinix nk wanazo simu nyingi tu zenye stereo speakers

Kuna nyingine ni hybrid, yani unakuta ina speaker moja chini na ya pili inakuwa ile ile speaker ya kuongea na simu inayokaa juu kabisa ya display. Zote hizo ni stereo speakers. In fact Redmi hata za laki 3 zipo zenye stereo speakers kwa hiyo usishangae sana mkuu.

Lastly, hongera kwa kupata simu inayokufurahisha. Redmi Note 13 Pro ni simu nzuri sana
 
Kiukwel inanifurahisha
 
Simu yoyote yenye sterio effect means, ina speaker 2, wanaita sterio speakers, na mara nyingi ni Pembeni kwa pembeni(kulia kushoto) au Juu na chini,

Kadiri speaker zinavyokua mbali ndio utaweza kusikia sterio effect vizuri, ndio maana ya juu na chini ndio opt nzuri,
Kwahio kujua unaweza ukaingia GSM arena nenda kwenye SOUND
LoudspeakerYes, with stereo speaker

Ukiona hivyo tafta location yake kwenye simu yako, sikiliza mziki, ziba moja nyingine utaisikia..

Zinatofautiana ubora..
Mfano ya hio Xiaomi iko rated kama

Loudspeaker-26.0 LUFS (Very good)

NOTE : Namba ndogo ndio Bora zaidi.
Asante Sana mkuu kwa uchambuzi mujaraab
 
Back
Top Bottom