Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

Samsung Galaxy S21 Ultra ni habari nyingine

Kiufupi simu za 2.5+ kwenda mbele ndo simu,kuna siku nilishika macho matatu ya jamaa kama dkk 15 hv,aisee simu yang a12 niliona kopo kama makopo mengne[emoji23][emoji23] kasoro kopo lang linatoa mwanga na kuhangaika kulichaji tu
Nilikua na milion 2.5 nikataka kununua macho matatu baadae nikafanya maamuzi magumu nimenunua vitoto vya nguruwe 50 ndo napambana navyo najua baada ya miezi 6 nikija kuwauza ntaingia befoward kutafuta BMW X 3
 
Kwa bei yake unapata s10 plus bora uchukue flagship achana na hzo midranges unless target yako ni battery...ila hyo a72 imezidiwa kila kitu na S10 plus kasoro battery
S10 + kwa sasa inauzwa shilingi ngapi?
 
Nilikua na milion 2.5 nikataka kununua macho matatu baadae nikafanya maamuzi magumu nimenunua vitoto vya nguruwe 50 ndo napambana navyo najua baada ya miezi 6 nikija kuwauza ntaingia befoward kutafuta BMW X 3
dah we jamaa umenichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23], ila umefanya maamuzi sahihi sana
 
Nilikua na milion 2.5 nikataka kununua macho matatu baadae nikafanya maamuzi magumu nimenunua vitoto vya nguruwe 50 ndo napambana navyo najua baada ya miezi 6 nikija kuwauza ntaingia befoward kutafuta BMW X 3
umefanya uamuzi uliopevuka,ila usisahau kutwambia vinakula kiasi gani kwa siku!!!
 
SAMSUNG nawaelewa sana. Ndio simu zangu mimi SAMSUNG. Hivi sasa niko na C9 PRO. Sina mpango wa radha ya simu ingine.
Hii si ni simu ya mwaka 2016?? au mimi ndio nimekosea??
 
Hii si ni simu ya mwaka 2016?? au mimi ndio nimekosea??
Inawezekana. Kuna utofauti gani na hizi mnazotumia za sasa?. Simu nyingi tu za sasa hiv zinazidiwa uwezo kwa mambo kadhaa na C9
 
Inawezekana. Kuna utofauti gani na hizi mnazotumia za sasa?. Simu nyingi tu za sasa hiv zinazidiwa uwezo kwa mambo kadhaa na C9
Yes ni kweli, nilikuwa nauliza tu kupata uhakika.
 
ukiona watu wanapambana na umasikini huwezi elewa[emoji16][emoji16][emoji16]

jaribu simu ya milioni 2.5 kwenda mbele utautukana umasikini kwa nguvu sana.
Kweli kabisa...enzi hzo natumia midranges nlikua sielewi utamu wa flagships ila siku nimeonja sitamani kurudi kwa midranges kabisa...tutafute ela[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom