Loraa sum's
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 260
- 280
- Thread starter
-
- #21
Hahahahaha asante kwa ushauri wako nduguMuuza TV nakushauri uoe, hayo Maisha unayoishi ni ya kigheto ghetto sana naona michupa ya pombe chini na vitu haviko katika mpangilio mzuri. Hapo ukioa mke anarekebisha life panakua pazuri sana. Inaonekana hela ya kula unayo ila una mpangilio wa Maisha wa ovyo sana halafu utakuwa unamiliki Paso au IST
Umeshauza bossHahahahaha asante kwa ushauri wako ndugu
Bado ipo...Umeshauza boss
Ukitaka kuuza hiyo wardrobe. Nijulishe mkuu-samsung inchi 49 inauzwa
-imetumika miezi 6 haina tatizo lolote
-ina warranty ya miaka miwili
-nakupa stand ya ukutani pamoja na TV guard bureee
-bei laki nane ( 800,000)
-ipo kimara mwisho
- contact 0712518770.
View attachment 1142294
HahhahaUkitaka kuuza hiyo wardrobe. Nijulishe mkuu