Loraa sum's
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 260
- 280
- Thread starter
- #21
Hahahahaha asante kwa ushauri wako nduguMuuza TV nakushauri uoe, hayo Maisha unayoishi ni ya kigheto ghetto sana naona michupa ya pombe chini na vitu haviko katika mpangilio mzuri. Hapo ukioa mke anarekebisha life panakua pazuri sana. Inaonekana hela ya kula unayo ila una mpangilio wa Maisha wa ovyo sana halafu utakuwa unamiliki Paso au IST